Rapper mwenye mafanikio makubwa nchini Tanzania, Ambwene Yesaya amesema video yake mpya inatoka wiki hii.
Video hiyo ambayo ilifanyika mwishoni mwa mwezi uliopita mjini Johannesburg Afrika Kusini imefanywa na kampuni ya God Father Productions inayomilikiwa na mnaijeria Mike Ogeke. Continue reading →
Baada ya jana kuachia rasmi wimbo wake ‘Piga Simu’ uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, mtangazaji/mwimbaji Loveness aka Diva ameeleza sababu za kwanini sauti yake inafanana na Rehema Chalamila aka Ray C kwenye wimbo huo. Continue reading →
Tangu ijulikane kuwa Beyoncé na Jay-Z wamemuita mtoto wao wa kwanza Blue Ivy watu wamekuwa wakijaribu kutafuta maana halisi ya jina la binti yao. Kuna wale waliofikiri kuwa limetokana na mapenzi ya Jay-Z kwa rangi ya Blue, lakini Bey ameandika shairi ambalo huenda likawa na sababu halisi ya kwanini waliamua kumuita binti yao Blue. Continue reading →
AY na Sauti Sol ‘Kushukuru’ pamoja wiki hii ndani ya BBA
Huu ni mwaka wa Afrika Mashariki kushine! Na by the way sijui nchi zingine zinajisikiaje juu ya hili? Je! Big Brother Africa mwaka huu inataka kulitumia jukwaa lake kuutangaza muziki wa Afrika Mashariki ili kuunyanyua zaidi labda pengine tuwe sawa na Nigeria na Afrika Kusini, ama muziki wetu ‘unabamba sana’!!! Continue read
Nneka Lucia Egbuna (born 24 December 1980) is a Nigerian-German hip hop/soul singer and songwriter. She sings in both English and Igbo. Nneka is the daughter of an Anambra state- Igbo Nigerian father and a German mother. She was born and raised in Warri, in the Delta region of Nigeria, and went to the primary school of the Delta Steel Company, then the secondary school at the Nigerian National Petroleum Corporation. Nneka relished the experience of singing from an early age in her school and in the church choir. After relocating to Hamburg, Germany, at the age of 18, she pursued a career in singing alongside a degree in Anthropology. She now divides her time between Nigeria and Hamburg.
This is Official video its clld (DO YOU LOVE ME NOW).JUST VISIT nneka on facebook also tweeter.
Joy Odiete, popularly known as JODIE, born on the 22nd of June, is a young soulful singer from Nigeria with a personality that exudes African freshness and originality.
Being one the favorite finalists in the premier edition of Idols, West Africa, her debut has been anticipated by fans not only in Nigeria, but among other African viewers.
Finally, her first singles, “Kuchi Kuchi” and “Fighter” are out. “Fighter” was born out of her determination to achieve her musical dream and never give up, while “Kuchi Kuchi” is a simple, soothing and rhythmic track inspired by the love of a child.
Jodie is a singer, songwriter and jewelry artiste. She loves being African and so keeps her virgin hair… Jodie is simply “Jodie”! Nigeria]
J’odie, releases her first video, for the baby-inspired Zouk song which was released at the tail end of 2010. The song exudes innocence and is extremely melodic in its delivery and her style can be described in three words; Soulful, Artsy… Simply African.
Mwaka huu Bongo Star Search imekuja na kasi mpya. Ikiwa na wadhamini wapya sasa hivi inajulikana kama Epiq BSS. Udhamini huo mnono unaambatana na kitita cha shilingi milioni 50 zitakazotolewa kwa mshindi wa mwaka huu.
Harufu inayodhihirisha kuwa mashindano ya mwaka huu yanaweza kuwa na utofauti mkubwa imeshaanza kunukia. Kwanza kwa matangazo yanayovutia yaliyoandaliwa na wadhamini, yanayosikika kwenye vituo vya radio na kuamsha hamu ya watazamaji wa TV wanayoyasubiria. Continue reading →
Bondia mkongwe Evander Holyfield anaweza kukabiliwa na kifungo jela kama asipotoa takriban $300,000 kama fedha za matumizi kwa mwanae.
Bondia huyo hajatoa fedha hizo kwa ajili ya mwanae wa kike Emani,18, tangu April 2010 alipoamriwa na mahakama kufanya hivyo.
Na sasa anadaiwa $372,097.40.
Msemaji wa Evander ameuambia mtandao wa TMZ kuwa hakuwa na taarifa kuhusiana na jambo hilo na kuongeza kuwa, “Holyfield ana uhusiano mzuri na binti yake.”
Hata hivyo ‘Upendo haulipi bili’. Toa hela!
Producer na mshindi wa tuzo za Kili Lamar wa Fishcrab ameamua kuonesha kuwa si uandaaji wa muziki pekee anaouweza bali kamba yake ni ndefu zaidi ya hapo ilipomfikisha.
Mpishi huyo wa midundo ya ukweli nchini, amefungua kampuni mpya chini ya himaya yake ya Fishcrab iitwayo Filmatic.
Akiwa muongozaji mkuu na mchukua picha, mpaka sasa Lamar na timu nzima ya Filmatic ameshatengeneza video tano.
Jana kupitia ukurasa wa Twitter alisema Continue reading →
Juzi bondia Floyd Mayweather alijisalimisha mwenyewe jela huko Las Vegas kutumikia kifungo cha siku 87 kutokana na kosa la kumshambulia mpenzi wake wa zamani mbele ya watoto wao.
Hata hivyo hatua hiyo haijaathiri pambano linalongojewa kwa hamu kuliko yote kati yake na mfilipino Manny Pacquiao. Habari njema ni kuwa mabondia hao sasa hivi wanazungumza moja kwa moja.
Kwa mujibu wa mwalimu wa Pacquiao Freddie Roach pambano hilo linanukia.
“Golden Boy (promota wa Mayweather) na (Arum, promota wa Pacquiao) wanachukiana kiasi ambacho wameamua kukaa pembeni. Kwahiyo Manny na Floyd wameanza kuongea wenyewe, ” alisema Roach.
“Watagawana 40-40 na mshindi atachukua hela ya ziada. Kitu ambacho ni sawa sababu kila mmoja anasema atashinda.”
Ukimuuliza Fid Q ni rappers gani anaowakubali zaidi Tanzania hawezi kukosa kumtaja Webiro Wasira aka ‘Wakazi’. Kama Fid kamkubali hatuna shaka kuwa uwezo wake si haba.
Jamaa anatokea pande za Ukonga, Dar es Salaam lakini kwa muda mrefu sana anaishi Chicago, Illinois nchini Marekani.
Katika ulimwengu wa Hip Hop wakazi ni mfalme wa kanda mseto (mixtape). Mpaka sasa ameshaachia mixtape tatu, MYU: Mixtape Ya Ukweli, MYU2 The Return of The Bilingual Beast na MYU3 Welcome To Heartbreak.
Jumapili hii amekuja na kanuni kumi za hela alizoziweka kwenye vina, ambazo ni hizi zifuatazo: Continue reading →
Kwa mujibu wa mtandao wa starcount.com, leo Judith Wambura aka Lady Jaydee ni mtu wa tatu maarufu zaidi nchini Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.
Mtandao huo uliozinduliwa rasmi juzi (May 31) ni mkubwa zaidi wa aina hiyo wenye uwezo wa kusoma tabia za watu bilioni 1.5 duniani kote. Continue reading →
Ibrahim Musa aka Roma kama watu wanamvyomtambua, hakuanza leo hii kuwa na misimamo mikali dhidi ya utawala.
Msimamo mkali ulimcost masomo pamoja na wenzake kadhaa baada ya kufukuzwa shule alipokuwa katika shule ya Sekondari ya Old Moshi. Continue reading →
“Jamaa ana nyumba mbili Mbezi Beach, ana gari tatu na maduka mawili makubwa, aah yule ni Freemason mwanangu, haiwezekani avipate hivi hivi”!! Huo ni mfano wa kauli za aina hiyo zilizogeuka kuwa maarufu sana kwenye midomo ya watanzania. Continue reading →
Mwanamuziki wa kike wa nchini Kenya Wahu amezikanusha story kuwa amemlenga mumewe kwenye wimbo wake Liar.
Kwa muda mrefu wapenzi wa muziki nchini humo wamekuwa wakihisi kuwa anayeambiwa ‘mwongo’ kwenye ngoma hiyo ni mume wake David Mathenge, aka Nameless, ambaye ni maarufu sana kwa mashabiki wa kike.
Katika interview aliyofanya na kituo cha radio cha Easy FM Wahu amesema kisa hicho ni cha kutunga.
“Kila mtu anaendelea kusema, aya, maze sema tu ukweli, you know. (The liar) ni uhusika wa kutunga lakini unaozungumzia mambo yanayotokea. Si unajua watu ni waongo,” alifafanua.
Wimbo huo kutoka kwa mshindi huyo wa tuzo za MTV, Wahu Kagwi umetengenezwa na producer maarufu
Unaikumbuka filamu maarufu sana ya Baby Boy (2001) aliyoigiza mwanamuziki Tyrese, rapper Snoop Dogg na muigizaji maarufu Taraji P Henson?
Katika filamu hiyo Tyrese ameigiza kama Jody (20) anayeishi na mama yake Juanita. Tyrese ameigiza kama mtoto wa mama fulani ambaye haoneshi dalili ya kuwa mtu mzima na kukabiliana na majukumu kama baba baada ya kumzalisha mpenzi wake Yvette (Taraji P. Henson) mtoto wa kike aitwaye Peanut.
Kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisubiri sana ujio mpya wa filamu nyingine itakayowakutanisha wawili hao. Leo (June 2) Tyrese kupitia Twitter ameonesha kuwa yeye pia ana hamu ya kukutana na Taraji. “I need to do another movie with this woman …. Fast … Where is my baby.?” Ametweet akiambatanisha picha waliyopiga pamoja.
Tweet hiyo inatupa maswali mengi hasa anapoandika’ Fast’ kwasababu tunajua kuwa awamu ya sita ya filamu maarufu ya Fast and the Furious ambayo Tyrese yumo kwenye zote tano zilizopita, huenda Taraji akaonekana humo pia! You never know!
Mwezi July mwaka jana Tyrese alitweet pia kwa kuandika, “Official.. Me and my girl Taraji are doing another classic together soon.!! John Singleton will be directing us. And it’s not BB2.”
Vyovyote itakavyokuwa, Taraji na Tyrese wanapendeza sana kuwa kwenye movie moja.
Linah katika pozi la Finally niko nyumbani baada ya ziara ndefu yenye mafanikio Marekani. Linah akiwa na mama yake na mdogo wake katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Daressalaam Tanzania. Bi Linah alipopokelewa kwa shangwe na ndugu yake Neyounce.
Home sweet Home Linah mwenye furaha kubwa baada ya kufika nyumbani kwake.
Posted on June 2, 2012 by amran Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam Mei 30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.(PICHA NA IKULU)
Pata picha kwenye video ya muziki wanaonekana Jackline Wolper, Lulu (muigizaji aliyepo mahabusu kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Steven Kanumba), Shilole, Anti Ezekiel, Diamond, Mo Racka na wengine! Continue reading →
Mawazo ya kuwa maisha mazuri yapo Ulaya hayakuwa mageni kwa Faraji Omar Mgimbo aka Ommy Dimpoz.
Mipango yake akiwa shuleni ilikuwa ni kutafuta njia yoyote iwezakanayo, iwe halali ama haramu ili afike Ulaya na mengine yangejulikana huko huko. Continue reading →
w
Lala Salama wimbo unaobeba jina la albam ya pili ya Diamond Platnumz umehit mtaani bila hata kuachiwa redioni.
Si jambo la kushangaza kumsikia mtoto mdogo akiuimba wimbo huo mstari wa kwanza hadi wa mwisho bila kukosea. Continue reading →
Jumanne na Jumatano ya wiki hii mwanamuziki wa Zimbabwe Oliver Mtukudzi alifanya ziara nchini Tanzania. Tofauti na ziara zake zilizopita ambazo zilikuwa za muziki zaidi, wiki hii amekuja kama balozi mwema wa Unicef ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini katika … Continue reading →
Baada ya kuwa kimya tangu atoe Reason aliyomshirikisha Cannibal, mwanadada Habida kutoka Kenya sasa amekuja na single mpya iitwayo “Girls Night Out” aka GNO! Continue reading →
She’s Back! Msanii wa kizazi kipya kutoka THT,Lina, jana amewasili kutoka Marekani na kupokelewa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake na msanii mwenzake, Nash. Bongo5 ilikua airport kushuhudia ujio wa lina ambaye tangu amesafiri ameonekana kwa utofauti mkubwa … Continue reading →
Kenya’s leading afro fusion boy band Sauti Sol are set to perform at the Czech Republic’s BIGGEST music festival of the year, the Colours of Ostrava from the 12th to the 17th of July 2012.
News coming from Nairobi says Sauti Sol are set to perform alongside other established artistes from across the globe including America’s Alanis Morisette, Sea and Air and Janelle Monáe.
The group which also featured Tanzania’s rap crooner AY in their hit song collabo “I don’t wanna be alone” track,has been very active this year on the international circuit, with a variety of acclaimed appearances at the South by South West Festival in Austin Texas USA and at the Festival on the Niger in Mali earlier this year. Continue reading