Mchana wa June 02 ndiyo yalifanyika mazishi ya mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida Salum ambaye alifariki juzi Mei 01 Jijini Dar es salaam kisha akasafirishwa kwa ajili ya kwenda kuzikwa Kigoma.
Mazishi yalifanyika saa 9 alasiri.
No comments:
Post a Comment