amreezle

amreezle

Monday, June 2, 2014

MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA

Posted by ran sober on June 2, 2014 at 11:14am
Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida Salum enzi za uhai.
MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es…

MWILI WA MAMA YAKE ZITTO KABWE WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI

Posted by ran sober on June 2, 2014 at 11:12am 0 Comments
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi. Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.

Waheshimiwa wabunge na baadhi ya viongozi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum kuingiza kwenye ndege tayari kwa safari ya kwenda Kigoma kwenye mazishi.

Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza…

DIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏, MAREKANI

Posted by ran sober on June 2, 2014 at 11:11am 0 Comments
Diamond mwanamuziki wa kizazi kipya anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani.
Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.
 Wapenzi wa Diamond wakipagawa na show ya Diamond iliyofanyika All Star Club Elezabeth NJ.…

KILI MUSIC TOUR YAVUNJA REKODI JIJINI MWANZA

Posted by ran sober on June 2, 2014 at 11:08am 0 Comments
 Wakaazi wa Mwanza wakiwa wamefurika kwa maelfu huku wakishangilia wakati kundi la Weusi likitumbuiza  katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
 Msanii wa Bongo flava, Ben Pol akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mwanza wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.…

Celebs Out & About: Chris Paul, Charlize Theron, Sean Penn, Vin Diesel

Posted by ran sober on June 1, 2014 at 8:14am 0 Comments
Chris Paul with wife and kids at LAX
LA Clippers star Chris Paul was spotted at LAX airport with his wife, Jada Paul, and their kids, Camryn Paul and Christopher Paul. Paul and his family were spotted hours after news broke on Thursday that a deal had been made to sell the Clippers to the highest bidder for a whopping $2 billion. Paul was among the Clippers players who vowed to give up their million-dollar paychecks next season if Donald Sterling did not sell the team.

Photo: VLNY / Zodiac / Splash News.…

Taswira kutoka mochwari ya Morogoro tayari kwa safari ya Dar kwa maandalizi ya mazishi

Posted by ran sober on June 1, 2014 at 8:12am 0 Comments
IMG_4222
Pichani ni Anton Mtaka ambaye ni DC wa wilaya ya Mvumero hapa Morogoro, kulia ni raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la hapa Mochwari tayari kwa maandalizi yote kuwa sawa.
 IMG_4227
Mbonie Masimba leo ni mtu wa kulia kila mara akikutana na ndugu jamaa na marafiki, kweli huwezi amini kama Tyson hatunae tena, aliyevaa nguo ya njano yenye vidoti doti ameinama chini ni mama mzazi wa Mboni ambaye tulikuwa nae toka juzi kwenye shughuli ya kuwagaia wanafunzi madawati.
IMG_4231
Team ya The Mboni Show ikiwa kwenye picha ya pamoja, hawa niliosimama nao ndio waliokuwa kwenye ile gari pamoja na marehemu Geogre Tyson na…

DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY‏

Posted by ran sober on June 1, 2014 at 8:10am 0 Comments
Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.
 Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.…

MWILI WA GEORGE TYSON WATOLEWA HOSPITALI YA MKOA MORO, WALETWA KWA KAIRUKI

Posted by ran sober on June 1, 2014 at 8:06am 0 Comments
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiutoa mwili wa marehemu George Tyson mochwari mchana wa leo katika Hospitali ya Mkoa ya Morogoro. ...Wakiupakia…

MWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI HOSPITALI YA KAIRUKI, VILIO VYATAWALA

Posted by ran sober on June 1, 2014 at 8:03am 0 Comments
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari.
Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.

Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki.…

KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR

Posted by ran sober on May 31, 2014 at 10:49am 0 Comments
Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa.…
A

No comments:

Post a Comment