HILI NALO NENO......JAMANI MSECHU!!!
Peter Msechu akiwa Kigoma
Pamoja na mji wetu KIGOMA kusahaulika katika takribani kila sekta ila niuponggeze uongoz wa mkoa kwani sasa umeme ni full time... Nina week toka nimefika umeme hauja wah katika.... Na umeme wetu ni wa jenereta tofaut na mikoa mingine wanakotegemea maji.... Vitu kama hivi vikifanyika katika mkoa wetu kweli kabisa maendeleo yatakuja kwa kasi na hata uchumi wa taifa kupanda....ninachotaka kuuliza ni kwamba ivi hawa wabunge wa huu mkoa wetu wa kigoma je wanaishi huku kwao??? Wakaona hali halisi ya maisha huku???? Au wamejichimbia huko??? Wanasubiri maafa ndio waje kutupa pole??? Sintoacha kuongea.... Nakupenda kigoma
Read more...
No comments:
Post a Comment