Leo hii ukiulizia models kutoka Tanzania wanaofanya vizuri katika ulimwengu wa kimataifa katika suala zima la uanamitindo,bila shaka majina mawili ndio yatakuwa ya kwanza.Flaviana Matata na Herieth Paul. Nchini Tanzania,Flaviana anajulikana sana.Kila mara huwa anatembelea Tanzania na ana mambo kibao anafanya ikiwemo vitu kama Flaviana Matata Foundation. Herieth hajulikani sana nchini Tanzania.Anaishi Ottawa nchini Canada.Hizi hapa ni baadhi tu ya picha zao wakiwa kazini.Hii ilikuwa katika London Fashion Week iliyomalizia mwishoni mwa wiki hii.
Read more: FLAVIANA MATATA NA HERIETH PAUL:MODELS KUTOKA TANZANIA WANAOTINGISHA NCHI ZA NJE! - BongoCelebrity
No comments:
Post a Comment