Anaitwa Macaulay Culkin,Ana miaka 32 hivi sasa.Aliwahi kutamba sana akiwa mtoto hususani katika movie maarufu sana ya Home Alone.Hivyo ndivyo anavyoonekana hivi sasa.Picha hizo za Entertainment Tonight zimeenea mtandaoni na wengi wameonyesha,kupitia maoni,kumuonea huruma kwa jinsi anavyoonekana kudhoofika.Watu wake wanasema hana tatizo lolote kiafya.Ni bukheri wa afya.Sasa nini nini basi?Maisha tu labda.
Alivyokuwa mdogo wakati wa filamu ya Home Alone
Read more: UNAMKUMBUKA YULE DOGO WA FILAMU YA HOME ALONE?MCHEKI ALIVYO SASA - BongoCelebrity
No comments:
Post a Comment