amreezle

amreezle

Friday, February 24, 2012

MADEMU WA KIBONGO NINAOWAFAHAMU WALIOPO KWENYE MUSIC VIDEO ZA MAJUU NI HAWA

Cynthia Masasi , Mwanadada asiyependa kujiweka nyuma kabisa  kimaendeleo ambaye ni , Actress, model " face of East Africa, Video girl pia.

Na pia ni mjasilia mali, anabiashara ambazo anafanya kujiongezea kipato

Super model mwengine ni Huyu hapa  Flaviana Matata

Picha  hii ni moja kati ya kazi  ya uanamitindo
Na hii ni picha ya Born this way " wimbo wa Lady Gaga" ambapo Flaviana yumo, sijaipata vyema picha yake ila unaweza ukaangalia hiyo video kwa umakini utamuona
Hapa yupo kwenye video ya wimbo wa Ride, wimbo uliopigwa na  Ace-Hood  na kuufanyia remix na kuwashirikisha kina Rick Ross, Trey songz,, Juelz Santana , T - pain na wengine waliopo kwenye video kumpa kampani mshikaji.

Cynthia masasi  kama anavyo onekana

No comments:

Post a Comment