Thursday, March 22, 2012
Wednesday, March 21, 2012
R.KELLY KUACHIA CHAPTERS ZAIDI ZA “TRAPPED IN THE CLOSET”
R.Kelly afufuka na kurudi na zile ngoma
zilizokua kama movies lakini kwa aina ya muziki kama
umeshaona Trapped In The Closet videos utakua umeelewa
vizuri what im talking about, R.Kelly amesema anamipango
ya kuachia chapters zaidi za “Trapped In The Closet”
Ingawa haipo wazi kabisa lini chapters hizo mpya zitatoka
na ya mwanzo kabisa kwa ajili ya promotions lakini watatangaza
kupitia IFC mwaka huu, IFC waliandika “ crew yote inarudi kwenye
mzigo mpya unaokuja kwenye “Trapped In The Closet” ya R.Kelly
na mambo mengine ya ndani zaidi. Dozen ya kwanza ya Trapped In
The Closet ilitoka mwaka 2005 ikafuatiwa na nyingine 10 mwaka 2007
akasema ameandika chapters nyingine 32.
VIDEO YA MKALI WA R&B NA POP MUBA KH SINA MALI YATOKA.
Video ya mkali anaechipukia katika bongo flava industry
"MUBA KH" imetoka leo tarehe 21 March 2012,
Video hiyo imefanywa na kampuni ya Extreme,
Video hiyo imeanza kupigwa leo katika vituo mbali
mbali vya televisheni , Audio ya wimbo wa “SINA MALI”
ilifanywa ndani ya Studio za G Records akiwa Muba Kh
amemshirikisha Ally Kiba na Sajna. Kesho tembelea blog hii
ya djfetty.blogspot.com utaiona video hiyo ya mkali anaechipukia
"MUBA KH"…Usikoseeeeee!
STOPA THE RHYMECCA APOTEZA HARD DISC YENYE MIXTAPE YAKE ILIYOKUA ITOKE KARIBUNI.
Mwana Hip Hop kutoka Hip Hop City Arusha,
Stopa The Rhymecca a.k.a Yokoi amepoteza Vitu
vyake vya muhimu ikiwemo hard drive yenye album
yake ambayo ilikua inategemewa kutoka siku za
karibuni ikiwemo na single inayofuata baada ya wimbo
wa Boom bye bye.
Akiongea na D- ANDY wa 255 ya XXL @ Clouds FM
Stopa anasema “ Nimepoteza hard disc yenye project
yangu yote ijayo ilikua na ngoma za Geescent pia kutoka
Nigeria kwa bahati nzuri nilishaanza kuisambaza kwenye
radio mbali mbali lakini ngoma zangu zote zimepotea itabidi
nirudi studio tena kuanza upya kurekodi ngoma nyingine”
Akatoa Contact kwa mtu ambae ataviona vitu hivyo ampigie simu
0713 423 292 akasema kwenye vitambulisho na card za
bank zimeandikwa jina lake halisi Jerome Frank Mgaya atakaeviona
amemuahidi donge nono.
MTANGAZAJI MWENYE MIAKA 78 AJITUPIA TATTOO KWENYE KALIO
mwanzoni ilionekana kuhusishwa sana na wahalifu na mabaharia, kabla haijawa maarufu.
na sasa hata Joan River (american television personality, mchekeshaji na muigizaji) na miaka yake 78 amejitupia tattoo kwenye KIPARA chake a.k.a KIJUNGU
Joan akipanda kwenye kitanda tayari kwa kutiwa wino mwilini
baada ya kuskia yale makelele ya mashine mwana mama alibadilisha mawazo na kuondoka akiwa amechorwa nyuki asiekuwa na rangi yoyote
SASA NDIO NAJUA KUWA NA MTOTO UKIWA NA MIAKA 57 NI TATIZO
Britain's oldest new mother ameongelea maju8to yake kwa kuzaa mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 57, akikubali kwa mara ya kwanza kuwa alikosea kutokuzaa mtoto wa kwanza mapema
akiongea miaka minne baada ya kujifungua mtoto wake Sue Tollefsen amesefunguka kuwa hivi karibuni alishindwa kumuangalia mtoto wake Freya baada ya kukutwa na ugonjwa unaohatarisha maisha yake (blood infection) uliomuacha hoi wakati wa christmas
Miss Tollefsen, akiwa na aliekuwa partner wake Nick Mayer na Freya ambae saa hii ameachana nae.
Miss Tollefsen ambae ni mwalimu aliestaaf akiwa na miaka 61 kwa sasa amesema kutoka na ugonjwa huo ameona kuwa hataweza kumuona mtoto wake akikua.
"niliumwa sana na kila saa nilikua nikimfikiria mtoto wangu na ndipo nilipojua kuwa sitaweza kumuona mtoto wangu akikua" amesema Miss Tollefsen, akaongeza kuwa ukweli kabisa nilichokipitia kimenifunza kuwa miaka 50 inabidi iwe ndio mwisho wa kuzaa
hapa akiwa na mtoto wake FREYA akiwa na miaka mitatu mwezi november
RAPPER 50 CENT AMEDHIBITISHA SIKU YA KUACHIA ALBUM YAKE
Album ambayo bado haijapewa jina ya rapper 50 cent
itatoka tarehe July 2 mwaka huu alisema jana March 20.
Alipata nafasi ya kuongelea album hiyo akiwa na Eminem
backsatge wakati wa onyesho la Shady Records 2.0 Austin
Texas kwenye mkutano wa SXSW music na waandishi wa habari.
“ Album yangu inatoka tarehe 2 July ina ngoma kali sana iko tayari”
Alisema 50, album hiyo ni production ya mtu mzima Swizz Beatz,
Just Blaze, Jake one, Jim Jonsin, na wengine.
Ni album ya 5 ya 50 cent na imeripotiwa itakua ni album ya mwisho
na Interscope Records. 50 cent alisema “ Birthday yangu ni ni tarehe 6
July hiyo ni siku fresh sana kwangu” “ Itakua July 2 album, July 4 ni siku
ya uhuru alafu tarehe 6 ni Birthday yangu”.
Tuesday, March 20, 2012
HAKUNA MWISHO WA TALENT YAKE: WILLOW SMITH AONYESHA SKILLS ZAKE UPANDE WA GYMNASTIC.
Ameshaanza keelekea upande wa mziki kutoka kwenye mziki with a role kwenye movie inayofata inayoitwa adaptation of comic book series Amulet.
Willow (11) ameonyesha uwezo wake upande wa serekasi kwa kupost picha hiyo hapo juu kwenye page yake ya twitter
ikiwa na maandishi yanayosema #DANCE
Ana miaka 11 tu lakini anaonekana ana style zake tofauti katika upande wa mavazi na muonekano kiujumla
licha ya kuwa na tetesi kuwa wazazi wake wanampango wa kuacha na, siku chache baadae willow alionekana aki enjoy game ya NBA akiwa na wazazi wake Will na Jada Pinkett Smith na kaka yake Jaden.
NAS AONGELEA COLABO YAKE NA MINAJI
Hate me now na hero rapper Nas ameongelea colabo
yake na Femcee kutoka YMCMB Nick Minaj
kwenye album yake ya sophomore.
Ngoma za kwenye
Ngoma za kwenye
album ya sophomore Pink Friday : Roman reloaded
imeachiwa mwishoni mwa week iliyopita, watu walipatwa
na mshangao kumuona Nas kuwepo kwenye ngoma ya
“Champion” pia amemshirikisha Young Jeezy na Drake.
Ngoma hiyo itatoka tarehe 3 mwezi nne 2012, Nas anafunguka na kusema “Nick
Minaj anafanya fresh, nampenda,nimefanya
ngoma nae”, Alisema Nas. Akaongeza, muziki ni muziki, nafeel sana naweza kufanya bonge moja ya kitu,
niliisikia ngoma, nikaifeel, nimeipenda sana”
Watu wengine watakao kuwepo kwenye album hiyo ni pamoja
na 2 Chainz, Cam’ron, Chris Brown, Lil Wayne na Rick Ross.
Rasmi kwa sasa ngoma aliyoiachia ni Redone iliyotengenezwa na “starship”
na kufanya video yake.
No comments:
Post a Comment