amreezle

amreezle

Thursday, March 22, 2012

UTENGENEZWAJI WA PICHA ZA LUNINGANI (ALI KIBA Feat: JIDE) Single Boy.Kiba ft. jay dee.

First song with forst Video....its never happen.....itakuaje kwa video? 

Hawa ni wadhamini wa mchuma uliotumika (BMW)


Mtuone tu hivi hivi tumesimama kama washamba, ikiisha mtajionea tulivyo chomoka


 Hiki kitu kilikua balaa kiama!!!BIG UP Sana mtu mzima Kiba.
Visual Lab (Adam Juma) ndio alifanya kazi ya uchukuaji wa picha hizo za kideoni.haya kaka wa next level,tunajua hakunaga zaidi yako....itachukua myiaka kutokea.



Mengine mtayaona Video ikikamilika
Nashukuru tulimaliza salama, japo nilikuwa na usingizi balaaa
Hayo ni baadhi ya maneno aliyosema Mrs. Gadna G.Habash

No comments:

Post a Comment