amreezle

amreezle

Tuesday, January 10, 2012

Jay moe ft mims kimbele zaidi....

''NEVER BE ME'' By JayMoe Feat. MIMS (USA),Immu Cabir (Mozambique) & Avil (TZ) produced by P-funk & Antonio

Hi!...this is the Official release of the song ''NEVER BE ME'' By JayMoe Feat. MIMS (USA), Immu Cabir (Mozambique) & Avil (TZ) produced by P-funk & Antonio....we apology 4 the inconvenience

Wednesday, November 9, 2011

attack


-New song from MWANA FA feat WYRE coming soon!

Hamis Mwinjuma msanii wa Bongo Flava anayejulikana kama MwanaFa yuko jijini Nairobi akimalizia Track yake aliyofanya na msanii kutoka nchini umo Wayre.  ngoma yake hiyo ambayo imefanywa na Hermy B na Wayre kuingiza Verse yake moja ambayo inatarajiwa kuwa na frava za kufa mtu. FA ameongeza kwamba video ya wimbo huo ambao hakupenda kuutaja jina inafanywa  jijini nairobi ingawa hakugusia ni kampuni gani ya video itafanya video hiyo. haya kaka...mimi nakutakia kila la kheri kwa safari yako ya kuitangaza tanzania katika ramani ya mziki.

0 comments:




-Braxton Family Drama that You Would Not Believe


click to read


Whitney and Jordan Talk about the Making of Sparkle

whitney houston and jordan sparks talk about the sparkle remake
click to read


- Rapper Creates a Catchy Kirk Franklin Dance

Rapper Creates a Catchy Kirk Franklin Dance
click to read


Serena Williams Locks Herself.......




-Serena Williams Locks Herself in Panic Room To Avoid Drug Tester?

image
Serena Williams is known for, what is perceived by many, her paranoia on the tennis court; her stance often being that people are out to get her and see her fail.
This, though, takes the cakes. (Pun intended)

- SUGU AHAHIDI KUFANYA MAAJABU SIKU YA SHOW YA ANTI-VIRUS PALE VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII TAREHE 26 NOV 2011

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa ameiteua Novemba 26, 2011 kuwa siku yake maalum ya kufanya maajabu.

Sugu a.k.a Mr. II ameliambia Uwazi kwamba Novemba 26, mwaka huu atakamata ‘mic’ na kupiga bonge la shoo kwenye Viwanja vya Posta, Mikocheni (Kijitonyama), Dar es Salaam.

“Nitasimama na wanangu wote ambao ni wanaharakati. Tutapiga shoo kali. Nitakumbushia ngoma zangu zote zilizoniweka juu kwa zaidi ya miaka 20 ambayo nipo kwenye gemu,” alisema Sugu.

Aliendelea kusema: “Tamasha tumeliandaa wenyewe kupitia kampuni yetu ya Deiwaka Entertainment, linaitwa Burudani, Muziki Unalipa. Washkaji kama Mkoloni (Fred Maliki), Soggy Dog (Anselm Ngaiza), Dani Msimamo, Suma G, Mapacha na wengine kibao watakuwepo.

“Kuna mambo ya Anti Virus, yanazungumzwa sana, siku hiyo kila kitu kitakuwa wazi. Tutahakikisha tunapiga shoo kali ambayo itaacha historia hapa nchini.”

-MkasiTv itaanza Jumatatu ya tarehe 10/11/2011 "SALAMA JABIR"

MkasiTv itaanza Jumatatu ya tarehe 14/11 Saa tatu na nusu usiku. Asante kwa LOVE. 
Tuonane Jumatatu hiyo.

MORE THT PICTURES IN NEW YORK CITY





                                   man Dito pamoja na Barnabas  elias





ito.

MIMBA YA WEMA YAWA KERO



WEMA Isaac Sepetu (pichani), mwenye kibendi cha miezi miwili kasoro alichopachikwa na ‘kidume’ Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, amegeuka kero kwa baadhi ya mastaa Bongo hasa wa kike kutokana na kutema mate ovyo, kujichetua na kuinadi mimba yake kupita maelezo.

Akizungumza na The Biggest IQ Paper, Ijumaa Wikienda ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, Wema alisema kuwa kinachosababisha awe kero ni dalili za wazi za mjamzito alizonazo ikiwemo kutema mate ovyo, kubagua vyakula na kudeka kupitiliza.

Alifunguka: “Wanasema nawakera, lakini nahisi wananionea gere na mimba yangu. Mimi sina chuki na mtu yeyote na naomba wanivumilie.”

MWANAMUZIKI DOGO ASLAY ALIVYOTAMBULISHWA DAR

MWANAMUZIKI mwenye umri mdogo anayetokea pande za Temeke, jijini Dar es Salaam,  Aslay Isiaka, ambaye ameibuliwa na kundi la Mkubwa na Wanawe linalomilikiwa na Said Fella, jana alitambulishwa rasmi  kwa wanamuziki wengine katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

Utambulisho huo ulihudhuriwa na wanamuziki wengi mahiri wakiwemo wa kundi la Tip Top Connection likiongozwa na ‘Rais wa Manzese’, Hamadi Ally ‘Madee’, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Sumalee,,Tunda Man na kundi zima la TMK.

- SIKILIZA WIMBO MPYA WA MWANAMUZIKI DITTO KUTOKA THT -JINA LA WIMBO NI TUSHUKURU KWA YOTE -PRODUCED AND MASTERED BY MSWAKI AT HOMETOWN RECORDS