amreezle

amreezle

Wednesday, November 9, 2011

- SUGU AHAHIDI KUFANYA MAAJABU SIKU YA SHOW YA ANTI-VIRUS PALE VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII TAREHE 26 NOV 2011

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa ameiteua Novemba 26, 2011 kuwa siku yake maalum ya kufanya maajabu.

Sugu a.k.a Mr. II ameliambia Uwazi kwamba Novemba 26, mwaka huu atakamata ‘mic’ na kupiga bonge la shoo kwenye Viwanja vya Posta, Mikocheni (Kijitonyama), Dar es Salaam.

“Nitasimama na wanangu wote ambao ni wanaharakati. Tutapiga shoo kali. Nitakumbushia ngoma zangu zote zilizoniweka juu kwa zaidi ya miaka 20 ambayo nipo kwenye gemu,” alisema Sugu.

Aliendelea kusema: “Tamasha tumeliandaa wenyewe kupitia kampuni yetu ya Deiwaka Entertainment, linaitwa Burudani, Muziki Unalipa. Washkaji kama Mkoloni (Fred Maliki), Soggy Dog (Anselm Ngaiza), Dani Msimamo, Suma G, Mapacha na wengine kibao watakuwepo.

“Kuna mambo ya Anti Virus, yanazungumzwa sana, siku hiyo kila kitu kitakuwa wazi. Tutahakikisha tunapiga shoo kali ambayo itaacha historia hapa nchini.”

-MkasiTv itaanza Jumatatu ya tarehe 10/11/2011 "SALAMA JABIR"

MkasiTv itaanza Jumatatu ya tarehe 14/11 Saa tatu na nusu usiku. Asante kwa LOVE. 
Tuonane Jumatatu hiyo.

MORE THT PICTURES IN NEW YORK CITY





                                   man Dito pamoja na Barnabas  elias





ito.

No comments:

Post a Comment