amreezle

amreezle

Wednesday, November 9, 2011

Mwana F.A he's comming with a new look!!!

-MWANA FA ATOA WIMBO KATIKA MAHADHI YA TAARABU -AMEMSHIRIKISHA LINAH KATIKA KIITIKIO-WIMBO UNAITWA YALAITI

 Brand New Song kutoka kwa MwanaFA akiwa amemshirikisha Linah, YALAITI ambao umefanyiwa sample kutoka kwa wasanii wakongwe ambao waliutumia toka kitambo, hapa namzungumzia Siti, Binti Saad, Malika pamoja na Bibi Kidude. Wimbo huu kwenye chorus ameimba Linah na kurudia kwa melody ile ile halafu mtu mzima akadondokea. Gitaa limepigwa na mmoja wa walimu wa muziki THT anaitwa Cadinal Gento na beat imefanywa na Marco Chali kutoka MJ Rec....Sikiliza wimbo huo katika Play list....

No comments:

Post a Comment