AY na producer wa ‘Speak With Your Body kusababisha tena?
Kuna dalili kuwa mambo makubwa yako mbioni kutokea tena kati ya producer wa ‘Speak with your body’ wa AY na Lamyia Good.
Riley Urick aliyeproduce ngoma za Sean Kingston,Romeo,Master P,Meek Mill,Tyga, Amerie na pia Engineer kwa Kanye,Akon,Beyonce na Lady Gaga ndiye aliyekuwa nyuma ya mdundo huo ambao pia Romeo alishirikishwa. Continue reading
Will Smith: Nina bahati Jada kuwa mke wangu
Will Smith amemsifia mke wake Jada Pinkett kwa kuifanya familia yake kuwa pamoja.
Muigizaji huyo wa Men In Black III na mke wake muigizaji wa series ya Hawthorne wana miaka 17 tangu waoane licha ya hivi karibuni kuwepo na fununu kuwa ndoa yao ipo matatani kuvunjika. Continue reading
No comments:
Post a Comment