amreezle

amreezle

Saturday, May 26, 2012

Leticia Nyerere kushitaki waliomkashifu:


Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (CHADEMA), ametishia kuwashitaki watu waliotoa taarifa katika vyombo vya habari, zikidai kuwa alikuwa amekamatwa na polisi kuhusiana na makosa aliyotenda nchini Marekani.
Katika taarifa yake jana kwa vyombo vya habari, Leticia alieleza kusikitishwa kwake na taarifa hizo, akidai kuwa zimemdhalilisha na kumkashifu mbele ya jamii inayomheshimu na kumthamini, na hivyo atachukua hatua za kusafisha jina lake.
Alisema tuhuma hizo zilizosambazwa katika moja ya mitandao hapa nchini na kunukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari, Mei 14, mwaka huu, zilikuwa za kutungwa, na zilizolenga kumchafua mbele ya Watanzania waishio Marekani na hapa nchini.Kusoma zaidi bofya Read more »

ZITO IN THE NETHERLANDS : AGENDA OIL AND GA


A delegation of members of the Parliament from Tanzania arrived in The Netherlands on Monday, for a 4-days study tour.
The tour which begins Monday 21st May 2012 until the 24th will see the Honorable MP’s Zitto Kabwe, Hon. Nasir, Hon. Sarah Msafiri and David Kafulila and Ms. Pallangyo meeting representatives of the Netherlands Ministries of Foreign Affairs and that of Economic Affairs, Agriculture & Innovation (EL&I).
The meeting will provide opportunities to discuss issues such as government policies on careful and transparent exploration/exploitation of natural resources and on management of the ensuing income, and Dutch experience in the field (Dutch disease and its prevention and cure).
They delegates will tour the port of Rotterdam to be followed by presentation of BAM international on LNG.
The MPs will also have a meeting with the Vice Prime Minister and Minister of Economic Affairs, Agriculture And Innovation, Mr. Verhagen.

No comments:

Post a Comment