Diva aeleza kwanini sauti yake inafanana na ya Ray C kwenye Piga Simu
Baada ya jana kuachia rasmi wimbo wake ‘Piga Simu’ uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, mtangazaji/mwimbaji Loveness aka Diva ameeleza sababu za kwanini sauti yake inafanana na Rehema Chalamila aka Ray C kwenye wimbo huo. Continue reading
Kwanini Beyonce alimpa mwanae jina la Blue
Tangu ijulikane kuwa Beyoncé na Jay-Z wamemuita mtoto wao wa kwanza Blue Ivy watu wamekuwa wakijaribu kutafuta maana halisi ya jina la binti yao. Kuna wale waliofikiri kuwa limetokana na mapenzi ya Jay-Z kwa rangi ya Blue, lakini Bey ameandika shairi ambalo huenda likawa na sababu halisi ya kwanini waliamua kumuita binti yao Blue. Continue reading
AY na Sauti Sol ‘Kushukuru’ pamoja wiki hii ndani ya BBA
Huu ni mwaka wa Afrika Mashariki kushine! Na by the way sijui nchi zingine zinajisikiaje juu ya hili? Je! Big Brother Africa mwaka huu inataka kulitumia jukwaa lake kuutangaza muziki wa Afrika Mashariki ili kuunyanyua zaidi labda pengine tuwe sawa na Nigeria na Afrika Kusini, ama muziki wetu ‘unabamba sana’!!! Continue read
No comments:
Post a Comment