Hasheem Thabeet launches Basketball Clinic in Dar
Tundaman kuachia video mpya iliyomgharimu mamilioni
Pata picha kwenye video ya muziki wanaonekana Jackline Wolper, Lulu (muigizaji aliyepo mahabusu kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Steven Kanumba), Shilole, Anti Ezekiel, Diamond, Mo Racka na wengine! Continue reading
Ommy Dimpoz: ‘Ndoto yangu ilikuwa kuzamia Ulaya’
Mawazo ya kuwa maisha mazuri yapo Ulaya hayakuwa mageni kwa Faraji Omar Mgimbo aka Ommy Dimpoz.
Mipango yake akiwa shuleni ilikuwa ni kutafuta njia yoyote iwezakanayo, iwe halali ama haramu ili afike Ulaya na mengine yangejulikana huko huko. Continue reading
Video ya ‘Lala Salama’ ya Diamond yanukia
w
Lala Salama wimbo unaobeba jina la albam ya pili ya Diamond Platnumz umehit mtaani bila hata kuachiwa redioni.
Si jambo la kushangaza kumsikia mtoto mdogo akiuimba wimbo huo mstari wa kwanza hadi wa mwisho bila kukosea. Continue reading
Lala Salama wimbo unaobeba jina la albam ya pili ya Diamond Platnumz umehit mtaani bila hata kuachiwa redioni.
Si jambo la kushangaza kumsikia mtoto mdogo akiuimba wimbo huo mstari wa kwanza hadi wa mwisho bila kukosea. Continue reading
Oliver Mtukudzi: Hakuna mtoto anayetakiwa kuzaliwa akiwa na HIV leo
Jumanne na Jumatano ya wiki hii mwanamuziki wa Zimbabwe Oliver Mtukudzi alifanya ziara nchini Tanzania. Tofauti na ziara zake zilizopita ambazo zilikuwa za muziki zaidi, wiki hii amekuja kama balozi mwema wa Unicef ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini katika … Continue reading
Habida aja na ‘Girls Night Out’
Baada ya kuwa kimya tangu atoe Reason aliyomshirikisha Cannibal, mwanadada Habida kutoka Kenya sasa amekuja na single mpya iitwayo “Girls Night Out” aka GNO! Continue reading
Exclusive: Picha za Lina alivyowasili kutoka Marekani
She’s Back! Msanii wa kizazi kipya kutoka THT,Lina, jana amewasili kutoka Marekani na kupokelewa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake na msanii mwenzake, Nash. Bongo5 ilikua airport kushuhudia ujio wa lina ambaye tangu amesafiri ameonekana kwa utofauti mkubwa … Continue reading
Miss Universe Tanzania 2012 Call for Entries
Sauti Sol to Perform Alongside Alanis Morisette and Janelle Monae
Kenya’s leading afro fusion boy band Sauti Sol are set to perform at the Czech Republic’s BIGGEST music festival of the year, the Colours of Ostrava from the 12th to the 17th of July 2012.
News coming from Nairobi says Sauti Sol are set to perform alongside other established artistes from across the globe including America’s Alanis Morisette, Sea and Air and Janelle Monáe.
The group which also featured Tanzania’s rap crooner AY in their hit song collabo “I don’t wanna be alone” track,has been very active this year on the international circuit, with a variety of acclaimed appearances at the South by South West Festival in Austin Texas USA and at the Festival on the Niger in Mali earlier this year. Continue reading
No comments:
Post a Comment