amreezle

amreezle

Saturday, June 16, 2012


  
Check hicho kichupa hapo juu then toa comments zako ....kuhusu hiyo video


Hatimaye imetoka baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu. Check it out!

Sasa tumepata jibu la kwanini video hii imemgharimu milioni thelathini na ushee. Hii ni video ambayo kila kituo kikubwa cha runinga kitataka kiwe nayo. Jana Trace ya Ufaransa imekuwa ya kwanza kuicheza.
Kwenye video hii AY kaonesha uwezo mzuri zaidi katika kuimba pengine kuzidi nyimbo nyingi ama zote alizowahi kuimba.  Party zone ni zile nyimbo ambazo huingia kichwani kwa mtu haraka na kujikuta akiuimba kimya kimya bila kuwa na taarifa.


Ni ngoma ambazo zikipigwa Club huwezi kuvumilia kukaa zaidi ya kuinuka na kulishambulia stage. Kwenye wimbo huo Marco Chali ameonesha kwa urefu zaidi uwezo wake wa kuimba tofauti na jinsi tulivyomzoea kwenye nyimbo za awali ambazo mara nyingi aliimba chorus peke yake.

Ngoma hii imetoka katika kipindi ambacho nyimbo za aina hii ya dance zinafanya vizuri mno duniani. Ni wimbo wa biashara zaidi na tuna uhakika utampeleka mbali sana.

Marco Chali pia ajiandae kuanza kutafutwa na wasanii wengi duniani kwa kazi hii nzuri ya mikono yake. Video hii tunaipa mic tano. Watoto wazuri pia, Big up AY

Hivi ndivyo wengine walivyoiona video hii.

Twitter

@Mubaraka27: noumah bro #partyzone iz mo international keep on touch bro halaa..
@SossyForreal: I`M SURE THIS TIME YOU ARE GOING FAR Brow..That`s Just PITBULL`s LEVEL ! HONGERA SANA
@MxCarter noma sana God Father anaweza kufanya ufe na pressure mx
@Frank_255: #Nw Party is On by @AyTanzania .. Never seen b4 hapa TZ.
@niMFEDE: duuuuh huu mvideo na style house una machale saaaana..
@litanda_jossey:amaizing one...bro. Kumbe hadi bodaboda unajua kuendesha..lol
@ENOSMYRA: hzo mdio video watanzania wanatakiwa kufanya..,,I respect u 4 that! U killed it..mpaka naskia raha kama ndo mimi vile,hehehehe.
@hemdee31: The new video "Party Zone" is off the Chain! I'm send it over 2 @SeanKingston 2C if we can get on "Time IS Money" @RomeoMiller
@CurathaMaro: #Party zone! acha mungu akuongezee tu bana!beautful video;

Facebook

Pendi Mahundi: Aise hii song iko international level....mi si mtaalamu wa muziki sana,lakini nahisi kuna kitu kimoja tu kinamiss kidooogo, ile bass inamiss..... am left in suspense throughout the song, as if it's about to come ...but then nothing comes! Any way a club banger.

YouTube

rNmhaye:Yap,, This is more than Bongo Flava,,, Its a world class...
Jiskerz :THE WAY U TREAT ME ULİSHANİPA SO MORE YEAH...party zoone
Oh shit cant stop watching this video AY big up  bro u always make me proud

No comments:

Post a Comment