LINAH-AWASILI DAR-ES-SALAAM LEO BAADA YA KUMALIZA TOUR YAKE YENYE MAFANIKIO USA…TAYARI KWA SHOW YAKE YA MISS MWANZA
Posted on June 2, 2012 by amran Linah katika pozi la Finally niko nyumbani baada ya ziara ndefu yenye mafanikio Marekani.
Linah akiwa na mama yake na mdogo wake katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Daressalaam Tanzania.
Bi Linah alipopokelewa kwa shangwe na ndugu yake Neyounce.
Home sweet Home Linah mwenye furaha kubwa baada ya kufika nyumbani kwake.

JK AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM
Posted on June 2, 2012 by amran Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam Mei 30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment