MSOME KBC WA KWANZA UNIT AKIFUNGUKA KUHUSU UTITIRI WA BEEF KATIKA MZIKI WA TANZANIA
Wake Up!! Wake Up!! Wake Up!! ... RADIOS+TV STATIONS DON'T CARE ABOUT HIPHOP CULTURE!!.. They care More about DRAMA!!.. THE SAME MEDIA that you running after for Free or Paid AIRPLAYS.. WANT TO SEE YOU HIPHOP GUYS BEEF,FIGHT,MAKE MISTAKES,GO TO JAIL,BE HOOKED ON DRUGS..WHATEVER!!.. To a Radio or TV show its just another Story to tell to Public.. Attract Companies to Sponsor the show.. THEY GET PAID WHILE YOU HIPHOP or BONGO FLEVA or TAARAB continue to FIGHT/BEEF/HATE /STAY DEVIDED/..Hence They continue USING YOU!!..Wake Up..Wake Up..Wake up!! DOING MIXTAPES ZA KUMTUKANA MWANA HIPHOP MWENZIO HAZUKUFANYI A BETTER EMCEE or RAPPER.. kwani hata FANS WASIO RAP WANAWEZA KUTUKANA.. HATIMA YAKE NI AIBU KWA THE WHOLE HIPHOP MOVEMENT.. MNAZIDI KUJIZIBIA NAFASI ZA KUSOGEA MBELE!!.. Wake UP!!.. Hata Nyie Mnaopata AIRPLAYS na nyinyi mnahusika katika AIBU Hii.. If You really support REAL Tanzania HipHop You MUST support ALL HIPHOP Artist...JCB, ,XPLASTAZ,NIKKI MBISHI,ONE Incredible,WATENGWA,STEREO,Nako2Nako,JMOE,FID-Q,PROF J,KIKOSI, SOLO THANG,MR.ZUX,ZAiiD,SALU-T.MANSU-LEE,MIRABA4,KURASA,NIKKI wa Pili, JoH MAKINI, CHIDDI BENZ,GEEZ MABOV,JOS-MTAMBO,ROMA...tunaweza Kukesha nikitaja Majina humu... ANAYEJISIKIA KUANZISHA BEEF..AKAANZISHE BEEF NA SERIKALI KUHUSU HAKI MILIKI ZA WASANII WA TANZANIA.. HAKI ZA USAMBAZAJI WA KAZI ZA KISANII TZ.. Wana Hiphop wengi mnajiita WANAHARAKATI.. Ni jambo la AIBU kwa hizo harakati zenu kuhusiana na CHUKI,WIVU,UNAFIKI,UPINZANI,UBINAFSI kwa Wana HipHop wenzio wa mahali popote Mijini,Kijijini,Mikoani au Mitaani.. WAKE UP Mwana Hiphop WAKE UP!!
No comments:
Post a Comment