SAKATA YA MAWAZIRI TANZANIA SASA WALIPUANA
Posted on April 23, 2012
Waziri
wa Uchukuzi, Omar Nundu ametuhumu Naibu wake Athuman Mfutakamba akisema
ndiye mhusika mkuu wa tuhuma za ufisadi zilizoelekezwa kwake kiasi cha
wabunge kufikia hatua ya kumshinikiza ajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mwananchi mbali ya mawaziri hao, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu ametoa waraka unaombebesha mzigo Waziri wake, Dk Cyril Chami akisema alimpa ushauri wa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege kupisha uchunguzi, lakini hakutekeleza. Kusoma zaidi bofya Read more »

No comments:
Post a Comment