YALIYOJIRI TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2012.
Roma akipokea tuzo yake. kaondoka home na tuzo mbili.msanii bora wa hip hop na wimbo bora wa hip hop (mathematics)
Diamond kwenye Red carpet akiwa na mama yake na friend
Warriors From East wakiondoka na tuzo yao ya Wimbo bora wa Reggae
Dushelele pia ilichukua tuzo..Ali Kiba akipokea tuzo hiyo kutoka kwa Dina Marios wa Leo Tena na Reinfred Masako
nyomi la Ukumbini na jinsi palivyopambwa
mi pia nilienda jionea tuzo zetu.
alikua ni Man of the show...Nilicheka sana aisee
Queen Dalin akichukua tuzo ya wimbo bora wa Ragga / Dancehall kulia ni Abby na kushoto ni Mr Taji Liundi
Prof J na Fella wakiwasilisha tuzo kwa Roma
Rappa bora alikua ni Kitokololo
Msanii kutoka THT akimwaga mavituuuuuuuz
THT dancers wakifanya mambo yao
Red carpet, kila mtu akifanya interview na mtu wake wengine wakisubiri kupiga picha
Mamaa Mboni masimba
Diamond akiwa na Ommy Dimpoz
Ma MC wa siku hiyo walikuwa ni Millard Ayo na mwanadada Vanessa Mdee
Dayna
Saraha alinifurahisha sana baada ya kuimba wimbo wa Lady Jay Dee
Queen dalin alipoimba wimbo wa Saida Karoli
Ommy Dimpoz akipokea Tuzo
Sharo Millionea na Mzee Majuto
Mwana mama Khadija Kopa akipokea tuzo ya mtumbuizaji bora akiwa na wanawe wakike
No comments:
Post a Comment