31,OCT 2O11.
WANAOWANIA....NZUMARI AWARDS 2011....MOMBASA!
Wasanii wanne toka Tanzania wameshatajwa kwenye Tuzo za Nzumari aka Nzumari Awards zinazotarajiwa kufanyika pande za White Elephant mjini Malindi,Mombasa,25 November 2011
BEST MALE ARTISTE (Nairobi) Mejja Jaguar Madraxx Wyre
BEST FEMALE ARTISTE (Nairobi) Sanaipei Size 8 STL Avril
BEST MALE ARTISTE (Mombasa) Johny Skani Rojo Chikuzee Bantu Fisherman
BEST FEMALE ARTISTE (Mombasa) Mama Sizo Rozina Anastacia Mukabwa Mummy Dee Lady Hekima
BEST MALE ARTISTE (Tanzania) Diamond Belle 9 Hussein Machozi Sam Ukweli
BEST FEMALE ARTISTE (Tanzania) Linah Grace Ma K-Sher Ray C
BEST SONG Escobar-Kaa Chonjo Kiddis Unga Unga Rojo and Chikuzee- Dame wa Kinegeria Mchafuzi, Susumila, Lai-Lawama Fisher Man and JI-Ayeya
BEST UP COMING ARTISTE P Day Fizzle Man OP Mchafuzi C-New
BEST MUSIC PRODUCER Emmy D-Jungle Masters Records Chapatizzo-Green House Records Shirko-Vybe Records Hamz-SQ Records
BEST DJ Dj Bonez Dj Lenium Dj Elon Dj Bunduki AJ The Dj
BEST SINGING GROUP Outter Limits Gospel Family SAV Clan Rude Boys Kagomaz
MRS BOBI WINE....AMKOROMEA BEBE COOL...!
Mke wa Bebe Cool,Barbie Itungo aka Mrs Bobi Wine amefunguka kuhusu adui wa husband wake,Bebe Cool kuhusiana na harusi pamoja na honeymoon
MOSSES BIDANDI SSALI - BEBE COOL
Bebe Cool alifunguka kuwa Bobi Wine hakuwa na mkwanja wa kutosha wa kwenda honeymoon nchini Marekani,na Mrs Bobi Wine kumtaka Bebe Cool awe mpole coz ali-complain hata wakati inatolewa michango ya harusi toka kwa vigogo wakati kumbe yeye mwenyewe hajatoa hata sumni,lakini harusi hiyo ilifanyika na kudhihirisha ni jinsi gani mchango wa Bobi Wine unatambulika nchini Uganda.
J-LO....AMWAGA CHOZI....KWENYE STAGE....!!
JENNIFER LYNN LOPEZ - J LO
Artist Jennifer Lopez ambaye mwezi July,2011 aliachana na husband wake Marc Anthony waliekua 'mwili mmoja' kwa miaka 7,alimwaga chozi alipokua anapiga show kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 15 ya Mohegan Sun Arena,Connecticut-Marekani
J-Lo,alipokua anaimba hit single,ya If You Had My Love,aliongea na fans wake na kufunguka kuwa track ya If You Had My Love ndio ya kwanza kuiandika kuhusu love na mengi juu ya mapenzi yamebadilika tangu kipindi hiko....Yako wapi mapenzi....? na kuwafanya fans wake wampe support na kumpa standing ovation (kusimama na kumpigia makofi)
J-Lo alisha-make headlines kwa kutoka na stars kadhaa kuanzia,Diddy, Chris Judd,Ben Affleck na kuja kuoana na Marc Anthony na kwa sasa inadaiwa kuwa anatoka na Actor Bradley Cooper
RAPPER NAVIO....APIGA MZIGO NA MR FLAVOUR....!
Hip Hop star toka Uganda,Navio ameungana na Artist toka Nigeria Mr Flavour kupiga tour kwenye nchi za Afrika Mashariki
CHINEDU OKOLI - MR FLAVOUR
Navio na Mr Flavour walikua Dsm na Nairobi kwa showz kadhaa.Na walipokua kwenye tour Navio aligonga collabo 2,moja na Mr Flavour na nyingine na Artist Madtraxx toka Kenya,na ngoma zote zinatarajiwa kuwa released kabla ya mwisho wa mwaka 2011
Navio ni mmoja ya wasanii wanaowania tuzo za Channel O,na atapiga show kwenye fainali ya tuzo hizo za Channel O na amechaguliwa kwenye category ya the Best Male category,Best Video category na Best Hip Hop category
BEYONCE NA JAY-Z....KUPATA....BABY GIRL....?!
BEYONCE AKA MRS JAY-Z
Za Chini ya Carpet zimefunguliwa kuwa,Celebz Artist Hip-Hopper Jay-Z na Pop Star-Queen Beyonce Knowles wanategemea kupata baby girl
Mamayake Beyonce,Tina Knowles amefunguka zaidi kuwa yeye na watu wao wa karibu wanajua kuwa atakayezaliwa ni mtoto wa kike na Beyonce mwenyewe inadaiwa kuwa hajali jinsia ya mtoto gani atazaa lakin kwa sasa ujio wa mtoto wa kike ndio umetawala kwenye familia hiyo
No comments:
Post a Comment