LADY GAGA....USO KWA USO NA RAIS OBAMA....!
US Prezidaa,Barack Obama alitoa kali baada ya kukutana na Artist Lady Gaga kwenye hafla ya kuchangia fedha ya taasisi ya Human Rights Campaign jijini Washington D.C na alitania kuwa alikua anaogopa kukutana na Msanii mwenye vituko,Lady Gaga
Rais Obama alikuatan an makundi mbali mbali yanayodai haki wakiwemo mashoga na wasagaji,Na baadaye Lady GaGa alitupia kwenye Twitter account kuwa alikua anataka sana kukutana na Barack Obama, baada ya dogo Jamey Rodemeyer toka Williamsville,New York aliyekua ana miaka 14 kujiua baada ya kunyanyapaliwa kwa kua alikua shoga, Lady Gaga alifunguka kuwa nia ya kukutana na Rais Obama ni kushinikiza jamii na kizazi kwa ujumla kuachana na tabia hii,coz yeye peke yake hawezi bali kwa pamoja...
BLACK EYED PEAS....WACHOMOA CONCERT YA MJ....!
Kundi la Black Eyed Peas 'limechomoa' kupiga show kwenye concert ya Michael Jackson Forever aka Michael Jackson Tribute Concert
Tamasha hilo limepangwa kufanyika tarehe 8 October,2011 pande za Cardiff Millennium Stadium ulipo Wales,ambapo JLS,Cee Lo Green na Beyoncé (ata- perform kupitia satellite) wanatarajiwa kupiga show na Artist,Presenter na Actor Jamie Foxx na TV presenter Fearne Cotton watakua ma-MC na haijajulikana mpaka sasa sababu zilizowafanya Black Eyed Peas kukataa kupiga concert hiyo ya King of Pop
WYRE.....AGONGA TRACK NA MORGAN HERITAGE....!
Reggae na Dancehall artist toka Kenya,Wyre 'The Love Child' kwa sasa amebakisha hatua chache ya kutambulika kuwa anawazimia atrist toka Jamaica baada ya kurekodi track na Reggae brothers Gramps na Peetah Morgan toka kwenye bendi ya Morgan Heritage
GRAMPS MORGAN,WYRE NA PEETAH MORGAN
Gramps na Peetah Morgan walikua nchini Kenya kwa ajili ya shughuli za charity kwenye project iitwayo Give Hope Africa na kugonga ngoma iitwayo Guarantee,inayopata airtime ya kutosha kwenye radio stations ikiwa video bado haijakuwa released
Wyre amesharekodi ngoma na Jamaican Bad Gal,Artist Cecile ya She Say Dat RMX na kwa sasa imechaguliwa kwenye Channel O Music Video Awards-2011 kama The most gifted Ragga Dancehall video na pia Wyre amegonga ngoma na Chege Chigunda toka TMK Wanaume Family inayoitwa Usiniache
No comments:
Post a Comment