Toka Chini Ya Kapeti
Habari zilizo chini ya Kapeti zinasema wale wakali wa kulalamika toka kwa Obama Black Street pamoja na Jagged Edge wanatarajiwa kutua Bongo kwa makamuzi ya ukweli kabisa. Toka ndani kabisa mwa chanzo chetu habari zinadai wakali hao wanatarajiwa kutua Bongo mwishoni mwa mwezi wa saba tayari kwa onyesho moja la pamoja katika msimu mzima wa kuwapa wabongo burudani pamoja na ladha tofauti kwani wengi wetu tumezoea wanamuziki wetu wa nyumbani. Habari zaidi
Toka ndani kabisa mwa chanzo chetu habari zinadai wakali hao wanatarajiwa kutua Bongo mwishoni mwa mwezi wa saba tayari kwa onyesho moja la pamoja katika msimu mzima wa kuwapa wabongo burudani pamoja na ladha tofauti kwani wengi wetu tumezoea wanamuziki wetu wa nyumbani.
Habari zaidi zinasema wakali hao wanatarjiwa kuletwa na kampuni inayokuja kasi ya kuinua vipaji vya wasanii ya Zizzou Entertainment ambayo kwasasa inawamiliki vile vichwa vikali kabisa katika muziki wa Bongo Fleva kama Mr Blue, Ngwea na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment