amreezle

amreezle

Saturday, October 15, 2011

BAADAYE SANA!! nadhan  ndo ntazeeka...!




KINDA ‘expensive’ ndani ya kilinge cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ juzikati alinaswa akijishebedua mbele ya kadamnasi kuwa sura yake bado inaruhusu kuonekana mrembo mbele ya jamii hivyo wanaodhani itazeeka mapema watangoja sana.

Lulu alibambwa na paparazi wwa Mateja20, Oktoba 10 mwaka huu, akiwa na wasanii wenzake katika Viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam, akijishaua kwa raha zake kuwa bado ana mda mwingi sana dunia wa kutumia urembo wa sura yake hiyo.


Mashauzi hayo yalikuja baada ya kuona gazetini moja lililokuwa linaongelea juu ya sura yake ambapo naye alikuwa miongoni mwa warembo waliotajwa kuwa na muonekano wa baby face Bongo.
“Nani azeeke wakati umri unaruhusu ningeshangaa sana kama kwenye hii makala nisingekuwepo wakati sura yangu bado ina mauzo ya kutosha hapa town hebu nichekini kwanza ninavyo lipa maana nilivyo hata sina haja ya kutumia hata make up,” alisema Lulu kwa majigambo ya hali ya

No comments:

Post a Comment