amreezle

amreezle

Monday, October 10, 2011


AY....LIL ROMEO TAYARI...SOULJA BOY IS NEXT..!

AMBWENE YESSAYAH AKA AY
Ambwene Yessayah aka AY aka Mzee wa Commercial amekwenda next level zaidi baada ya kufanya collabo mkali kutoka marekani,Percy Romeo Miller JR. aka Lil Romeo na D'anna Stewart,ngoma iitwayo Speak with your Body
Mbali na Lil Romeo pia kwa sasa ana mpango wa kufanya kazi na Soulja Boy,coz aliacha demo yake na baada ya Soulja Boy kuisikia collabo na Lil Romeo alizima makila kinga ya AY na kuamua kufanya nae kazi na kwa sasa AY anasubiri aletewe beats tu azifanyie kazi na mwezi ujao anatarajiwa kwenda Marekani kwa ajili ya kupiga huo mzigo pamoja na kutengeneza video ya Speak with your Body
.GOOD STUFFS AY....THAT'S A GOOD MOVE...!

....GNL ZAMBA...NAYE AFUNGUA BAR UGANDA...!

GNL-ZAMBA
Baada ya Msanii Faysal Seguya aka Rabadaba toka Uganda kufungua Bar iitwayo DabaBara Bar pande za Kampala Road naye Hip-Hop Artist toka Uganda Ernest Nsimbi Zamba aka GNL Zamba naye amefungua Bar yake
GNL Zamba amefungua Bar pande za Najera jijini Kampala inayoitwa Zamunda Bar

No comments:

Post a Comment