amreezle

amreezle

Monday, October 10, 2011

 Kwa mdau yeyote wa movie za  love story,huu ni mzigo kati..mzigo uliowahi kupigwa mwaka huu. unaitwa "NO STRINGS ATTACHED"...mzigo ni mkali mwanzo mwisho...unaonesha namna ambavyo unatakiwa ku-behav pale mtu uliyekuwa nae kimapenzi anapoamua kuwa na mtu wako wa karibu...ni mzigo unaodhihirisha kuwa uhusiano wa kawaida kwa waliowahi kuwa "inlove" inawezekana.


utakua  unahitaji mengi sana kujifunza abt love..
hebu jaribu kuitafuta hii movie,alafu atapata jibu

kwa nn iliitwa NO SRTINGS ATTACHED



No comments:

Post a Comment