TUNAADHIMISHA SIKU YA MWALIMU NYERERE LEO


















MR BEEN JUKWAANI KWA MARA NYINGINE TENA

Muigiza na mchekeshaji Maarufu kama Mr Been Rowan Atkinson ameamua kurejea latika maigizo ya jukwaani mara baada ya kukaa kando kwa kipindi kirefu.Been ameamua kurudi kuchekesha wapenzi wake ambao wamemiss vituko vyake takribani miaka 20 sasa kwa mujibu wa chanzo alisikika akisema
Nimeamua kurudi katika maigizo ya ukumbini,kwanza yananipa hamasa kubwa kwa maana natoa kitu mbele ya mashabiki na wanapokea moja kwa moja nikiwa karibu yao,ni takribani miaka 20 sasa ila nawaaidi nitawapa kitu bora zaidi..Been kwa sasa ana umri wa miaka 56
SAUTI YA JOGOO YA NIKKI MBISHI

Nikki alisema haya: “Nilikuwa nawaza kuongelea uhalisia wa tasnia ya siasa Tanzania inavyojenga matabaka baina ya watu wa ‘chini’ na wa ‘juu’. Na pia nilitaka kuwakumbusha watu majukumu yao kama jogoo awaamshavyo waliolala alfajiri inapojir
ALBAMU YA GRACE MATATA KUTOKA MWISHO WA MWAKA HUU

Not wanting anticipation and curiosity to continue tormenting her fans, Ms. Matata is introducing her new song “Hallo Baby”, featuring Otuck. The song certainly sets the right mood for the big day. If her soulful voice saying “Hallo Baby” is not mesmerizing enough, then wait for the sound of the guitar strings at the end. Ms. Matata invites you to ‘ imba nami‘, because her album has something for everyone.
No comments:
Post a Comment