Jana alhamis ya alhamisi ya week isher legendary wa bongo fleva Dully sykes na Diamond walimaliza kutengeneza remix ya Bijoux ndani ya studio za majani Bongo records. soon utaiskia maskioni mwako.hongera zako dully kwa jitihada za ziada.pamoja diamond platnumz!
No comments:
Post a Comment