VITUKO VYA....BARACK OBAMA NA DAVID CAMERON....!
Rais wa Marekani,Barack Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameron wameonesha umahiri wao wa kwenye michezo baada ya kuunda timu moja ya table-tennis wakati Rais Obama na kilichofurahisha ni kuwa wote ni wakali wa mchezo huo....halafu anatumia mikono ya kushoto aka ma-left..!
Na baadaye Prezidaa Barack Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameron waliwapa heshima na kuwashukuru askari wa nchi hizo mbili na waliwaandalia msosi aka BBQ kwenye garden ya Downing Street namba 10, jijini London,huku viongozi wote hao pamoja na wakw zao Michelle Obama na Samantha Cameron walikua wanawahudumia wageni waalikwa kama waiter misosi mbali mbali kuanzia Sausage,Hamburg,Hot Jersey Royal potatoes na Caesar salad,ikiwa ni sehemu ya kudumisha uhusiano wa nchi zao mbili,Marekani na Uingereza
No comments:
Post a Comment