amreezle

amreezle

Thursday, October 13, 2011


LIL WAYNE AKA WEEZY...ADAIWA KODI MAREKANI!


Hip-Hop star Lil Wayne toka Young money,anakabiliwa na dani la kodi inayofikia dola milioni 5.6 na mamlaka ya mapato Jumatatu ya tarehe 28 March 2011ilimpelekea Lil Wayne bili hiyo pande za Miami,na kumueleza kuwa anadaiwa kodi aka income tax kwa mwaka 2008-2009
Lil wayne alipata dola milioni 3,335,077.95 kwa mwaka 2008 na kiasi cha dola milioni 2,258,956.04 kwa mwaka 2009 pekee
Na kwa mujibu wa za Chini ya Carpet Lil Wayne kwa sasa ana mpango wa kuuza hekalu lake lililoko pande za Miami Beach Island lenye ukubwa wa futi 15,101,kwa kiasi cha $ milioni 12,900,000 na Weezy kwa sasa inasemekana kuwa atajiingizia pesa kibao kupitia i am music tour II ambayo imeanza Mar 18,2011 HSBC Arena-New York na kumalizika tarehe May 1,na kwa sasa anajiandaa kutoa studio album yake mpya ya 9 iitwayo Th

No comments:

Post a Comment