amreezle

amreezle

Saturday, October 15, 2011

THE MAKING OF RELAX "Peter Msechu"


Mshindi wa Tusker Project Fame Peter Msecho, amemaliza utengenezaji wa video yake ya inayokwenda kwa jina la RELAX. Peter amesema video hiyo imepigwa maeneo ya Longai Kware nje kidogo na Nairobi Kenya. Nimeambiwa wakati wa kushoot video hiyo dir Abrah the producer aliteleza bahati mbaya na kutegu mguu wake lakini jamaa alijikaza ili kumalizia vipande hivyo na kwa sasa anaendelea vizuri huku ukiwa umefungwa bandeji.


Read more...

No comments:

Post a Comment