JAY Z AFUNGUKA....SINA BEEF NA LIL WAYNE...!
Jay-Z maefunguka kuwa kwa sasa akili yake iko zaidi kumfikiria mtoto wake mtarajiwa na tour ya joint album yao na Kanye West ya Watch The Throne,tour ambayo inatarajiwa kuanza mwezi ujao na kufunguka kuwa hana mpango wa beef na Lil Wayne
DWAYNE MICHAEL CARTER,JR. - LIL WAYNE
Lil Wayne alimchana Jigga kwenye album yake ya Tha Carter IV kwenye ngoma ya It’s Good featuring Jadakiss na Drake...na verse ilikwenda kama Talkin’ about baby money,I got your baby money,kidnap your bi*ch,get that how much you love your lady money/I know you fake ni**a,press your brakes ni**a/ I’ll take you out,that’s a date,ni**a,raps the Young Money MC....Ikiwa ni jibu la diss verse toka kwenye ngoma ya Jay-Z ya H.A.M,.....I’m like really, half a billi,ni**a really you got baby money/Keep it real with ni**as,ni**as ain’t got my lady money na baadaye H.O.V.A. Kufunguka zaidi kuwa haina haja ya kuwa na beef kwenye Hip-Hop coz That’s sport,that’s rap music,Nothing is going to change but the participants....
JAY-Z vs LIL WAYNE
COLLECTION YA MICHAEL JACKSON....KUTOLEWA...!
Epic Records ikishirikiana na The Estate of Michael Jackson,November 21,2011 wata-release soundtrack compilation ya Immortal aka Cirque du Soleil (Michael Jackson The Immortal World tour) na itakua na track 22
Collection ya Immortal itapatikana kwa mfumo wa double disc versions na kuna ngoma ambazo zimefanyiwa remix ambazo hazijawahi kusikika na fans wake zikiwemo za ABC akiwa na The Jackson 5 na They Don’t Really Care About Us ambayo amepiga remix na kwaya,Na mwaka jana Epic Records waliachia album ya King of Pop ambazo zilikua hazijasikika kab
....TUKO JUU KULIKO JAY-Z....P-SQUARE....!
Wasanii twins toka Nigeria,P-Square wamefunguka kuwa wao wako juu kimuziki na wala hawahitaji kupiga collabo na Jay-Z ili mziki wake upigwe Marekani,wakati barani Africa,ni wafalme na kwa Marekani Jay-Z ni mfalme kivyake
Walikua wanaongea kwenye interview kuhusu album yao ya Invasion inayopata airtime ya kutosha kwa sasa,na kuonekana maneno hayo kama ni dongo kwa D'Banj aliye chini ya Label ya G.O.O.D Music ya Artist toka Marekani,Kanye West na kwa sasa wanazi-promote tracks 2 zao mpya za Forever na Do as I do featuri
MWILI WA WANGARI MAATHAI....KUCHOMWA MOTO...!
Mwili wa Mshindi wa tuzo ya Nobel-2004,Mwanaharakati na Mwanamazingira toka Kenya,Professor Wangari Maathai,utachomwa moto jijini Nairobi-Kenya....Jumamosi
Kwa mujibu wa familia ya Wangari Maathai,mwenyewe alitaka mwili wake usizikwe kama wengine bali uchomwe moto na majivu yake yahifadhiwe Taasisi ya Elimu ya Kenya kwa ajili ya kuhamasisha amani na Mazingira
Enzi za uhai wake Wangari Maathai,alianzisha taasisi ya Green Belt Movement mwaka 1977,aliyoiongoza kupanda miti milioni 30 nchini Kenya,kabla ya kufariki 25 Septemba 2011 akiwa na miaka 71 kwa ugonjwa wa saratani
P DIDDY....ATAJWA MAUAJI YA 2 PAC SHAKUR...!
Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rap legend Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs aka Diddy kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na alifadhili mauaji ya Rapper Tupac Shakur
SEAN 'DIDDY' COMBS - DIDDY
Kitabu chake kitakua kitaani kesho Oct 4,2011 na amekusanya ushahidi toka kwenye tapes na document nyingine toka kwa watu muhimu waliohojiwa kuhusiana na mauaji ya 2Pac Shakur na Biggie Smalls
THE LATE - 2 PAC SHAKUR
Na Kading kuwa baadaye yeye aliondolewa kwenye kesi hiyo,lakini kwa mujibu wa vielelezo alivyokusanya,ushahidi unambana Sean "Puffy" Combs aka Diddy kuhusiana na kifo cha Tupac Shakur na kua alitoa mkwanja wa dola milioni 1 kwa ajili ya utekelezaji wa mauaji hayo
No comments:
Post a Comment