amreezle

amreezle

Saturday, October 8, 2011

Ughaibuni nako...


LIL WAYNE NA NICKI MINAJ....WATOA SEX TAPE...?!

DWAYNE MICHAEL CARTER JR. - LIL WAYNE
Kuna za Chini ya Carpet kuwa Artist wawili toka Young Money Entertainment,Dwayne Michael Carter, Jr. aka Lil Wayne na Onika Tanya Maraj aka Nicky Minaj wametengeneza sex tape ya pamoja
ONIKA TANYA MARAJ - NICKI MINAJ
Mtandao mmoja wa kimbea zaidi duniani,umefunguka kuwa sex tape hiyo imerokodiwa miaka 3 iliyopita hivi,na anaoneka kama mtoto aliyekua na Weezy ni Superbass rapper,Nicki Minaj na kufunguliwa kuwa kwa sasa anatafutwa don mwenye hela ndefu ili auziwe kwa dola 150,000 ili uoneshwe hadharani
LIL WAYNE vs NICKI MINAJ
Lakini mpaka sasa hakuna msemaji wa Nicki Minaj naWeezy kuzungumzia issue hiyo.

ARTIST WALIPOFUNIKA....TPF-CONCERT....NAIROBI..!

....SHAGGY.....TOKA JAMAICA....
....CABO SNOOP....TOKA ANGOLA....
....FEMALE RAPPER-EVE....TOKA MAREKANI....
....'HOMEBOY' PETER MSECHU....TOKA TANZANIA....
....ALPHA RWIRANGIRA....TOKA RWANDA....
....DAVIS NTARE....TOKA UGANDA....
....JAGUAR....TOKA KENYA....


....TOKA KWENYE FACEBOOK STATUS YA...SUGU....!


HIP HOPPER JOSEPH MBILINYI - MBUNGE (MBEYA MJINI) MISSION: Personally nitaenda Ikulu kumpelekea Rais Kikwente copy ya Anti-Virus Mixtape Vol 2 pamoja na zawadi ya Tshirt ya Anti-Virus...Ili naye asikilize vijana wa taifa lake na kilio chao....

No comments:

Post a Comment