Hizi ni kati ya zile zilizoshika top100 in america,katika miaka ya 80's
zilikaa kwa muda mrefu sana top 3.
naiman kwa wale wapenzi wa oldies,nimewagusa.
ni zao endelevu mpaka leo.rip-reperton.kwa anae taka kujua zaidi kuhusu huyu mtu rennie Reperton...tembelea kwenye headed,right hand.
kuna kichwa cha habari,DAIMA ATAKUMBUKWA.
No comments:
Post a Comment