amreezle

amreezle

Friday, September 30, 2011

Asa

Born 1982.
Nigerian soul musician
Asa

Biography

Aṣa (pronounced "Asha") (born in 1982) is a Nigerian – French singer-songwriter and recording artist. Her stage name "Aṣa" means "Hawk" in Yoruba.
Read more at Wikipedia...
Wikipedia This entry is from Wikipedia, the user-contributed encyclopedia. It may not have been reviewed by professional editors and is licensed under the GNU Free Documentation License. If you find the biography content factually incorrect, defamatory or highly offensive you can edit this article at Wikipedia. Find out more about our use of this data.


Take Care





Feels like it's been so long. Is life moving so fast in this generation that when we desire something it begins to move in slow motion? Are we just used to getting what we want right away? Or do we require one another to feel right about all that is going on around us? Maybe our anticipation is justified by the fact that we genuinely cannot wait to share a moment again? Either way, your life and mine are scheduled to meet on October 24...I wouldn't miss it for the world.

See you soon.

D0 you relly want to get it right now...?

D0 you relly want to get it  right now...?
converse latest shoes now available @ afrotanza classic wear in................!!

Rihanna: People Think I'm a Bitch

rihanna
Rihanna has an image to maintain, but unfortunately her 'Hard' persona often comes out to be a little bitchy.

RiRi admits that people often think she's rude because she isn't always open and chatty when she meets new people.

She told WPGC radio: "I don't really open up to a lot of people, usually I go very quiet. If I don't know someone often I don't say very much, I observe and people think I am snooty because of that.

"People assume that I'm a b***h. But I don't think that I am. I just don't feel I have to be that enthusiastic if I don't know who you are yet."

One couple Rihanna always feels at ease with is her good pal Katy Perry and her new fiance Russell Brand because they make her “die laughing.”

“They are always kidding around and making jokes,” she said. “When I’m with them I just die laughing. They are both hilarious but together they are even funnier to be with.

She thinks the duo is so hilarious a movie studio should consider giving them their own movie. “It’s only a matter of time before they end up in a movie together or something,” she added.

ka Mbali: Askari Monument

Tumetoka Mbali: Askari Monument
Bismini picture....ndilo jina la awali lilianza kutumika mwaka 1927.

man kunani?

ujeruman kunani?
Ukuta wa Berlin mnamo mwaka 1980 upande wa kushoto: Berlin Mashariki (angalia kanda la mauti mbele ya ukuta wamapopita askari; hapo walinzi walipaswa kumfyatulia risasi kila mtu aliyeingia); upande wa kulia: Berlin Magharibi ambako ukuta ulichorwa picha na vijana Eneo la Berlin Magharibi lilikuwa kama kisiwa ndani ya Ujerumani Mashariki

Rihanna and Drake: It's On! After months of .....

Rihanna and Drake: It's On!

After months of speculation, it turns out Rihanna and Drake really have been dating on the down low. You couldn’t fool us for long.

They were caught kissing at the Buonanotte supper club in Montreal, Canada last month, and have been spending a lot of time together since. But don’t hold your breath waiting for a wedding just yet---apparently it’s a super casual fling at this point......

Thursday, September 29, 2011

Wadau mmeiskia hiyo....!


MAAFA YA KIMBUNGA...GUATEMALA!


Huwezi kuamini kuwa kimbunga kinaweza kuleta madhara makubwa kiasi hiki...Hii imetokea Nchini Guatemala,baada ya mvua kunyesha kwa sanaaa na Kimbunga Agatha kusababisha maafa makubwa.
Inasemekana watu zaidi ya 150 wamepoteza maisha baada ya maji yenye kina cha futi 3 kujaa kwenye mitaa ya nchi hiyo na huwezi amini hilo shimo limemeza nyumba ya ghorofa 3 nzima ardhini.....Duh kweli dunia ina mambo!

MHHH!...KU-DOWNLOAD IMEKUA SO!!!!


Kuna tabia ya watu huwa wana-download movie mbali mbali kwenye Internet,Lakini watengenezaji wa Movie ambayo imeshinda Tuzo za Oscar,THE HURT LOCKER.Movie ya kivita ya kimarekani ambayo imetwengenezwa nchini Jordan karibu na mpaka wa Iraq,Wamewashitaki zaidi ya watu 5000 ambao wali-download movie hiyo kinyume cha sheria au ulipe faini kishkaji $ 1,500 au wakikulipeleka mahakamani utalipa mara 10 zaidi yaani $ milioni 1.2 Duh!

Mmmmh!

...SWALI GUMU!!!

TONY MICHELLE BRAXTON MaDesigner na MaModel....Je hii ni fashion au design ya aina gani? Beach

...SWALI GUMU!!!

TONY MICHELLE BRAXTON MaDesigner na MaModel....Je hii ni fashion au design ya aina gani? Beach Wear au Casual Wear? VP kuhusu hatma ya utamaduni wetu wa kiTanzania kama wao ndio Role Model wetu kwenye fashion...Duh!!!
Wear au Casual Wear? VP kuhusu hatma ya utamaduni wetu wa kiTanzania kama wao ndio Role Model wetu kwenye fashion...Duh!!!

DIDDY-DIRTY MONEY ASHITAKIWA NA PAPARAZI...!

SEAN DIDDY COMBS
Mpiga picha toka Atlanta amemshitaki CEO wa Bad Boy,Sean “Diddy” Combs, na kudai kuwa bodyguards wake walimpa vitasa kwenye BET Awards Afterparty,October mwaka jana
Mpiga Picha huyo kwa jina la Jabari Tilgham,alidai kuwa alikua anamfotoa Diddy kwenye party hiyo iliyofanyika pande Club Mansion Elan,alipigwa na kusababishiwa majeraha kadhaa

SKENDO ILIYO MUUMIZA!


DUH!....STUDIO YA AZIZ AZION YAGEUZWA GESTI?!

ARTIST AZIZ AZION - UGANDA
Studio ya Aziz Azion iliyo pande za Makindye nchini Uganda iitwayo 180 studio,inasemekana kuwa imegeuka kuwa kijiwe baada ya recording studio kwa kudaiwa kuwa producers wake wanafanya mambo yasiyofaa
Rumours pia zinadai kuwa upcoming artist wengi wa kike wamekuwa wakipiga kambi pande za studio wakimsubiri Aziz Azion kuwasaidia ili watoke,na inadaiwa kuwa Aziz Azion anakuwa busy kuwafundisha kwa dhati kabisa,lakini chumba cha pili producer wake anawachakachua wengine
Lakini hivi karibuni Aziz Azion alishtukia chezo hilo na kumfukuza producer aliyedaiwa kuwachakachua totoz wanaokuja kufundishwa na cha kushangaza Aziz alifunguka kuwa alikua hajui chochote kinachoendelea kwenye studio yake hiyo!

Platnamz ft Junior...mmmh!



Msanii Diamond kuongea kwenye radio flani hivi na kufunguka kwamba Producer Bob Junior aka Rais wa Masharobaro toka Sharobaro Records amemkatalia kurekodi wimbo wa Gongo la Mboto.Bob Junior alimcheki DJ Choka kwenye simu usiku wa jana (Jumanne) na kufunguka yafuatayo:
"Kama nilivyo sema me naumwa na sikio halisikii kabisa ndo nikamwambia nikiwa poa tuta fanya yeye anaenda anaongea mambo yasio na msingi men imeni pain sana choka ndugu yangu coz hili swala hata me limeni gusa hata me pia msanii nili plan kuimba kuhusu haya maafa kila mtu hili swala limemshtuwa so awe anaacha utoto akienda kwenye mediaz asiwe anaropoka na kuwaaribia watu sijapenda na roho imeniuma sana"

Afrika zaidi

AFRIKA KUSINI....WAKATA CONDOMS ZA KICHINA....!

Mahakama ya Pretoria nchini Afrika Kusini imeizuia Serikali ya nchi kununua condoms milioni 11 toka China,wakidai kuwa ni ndogo sana kwa size
Wizara ya Fedha ya nchi hiyo ilikua na mkataba na kampuni iitwayo Siqamba Medical,iliyokua na mpango wa kununua condoms aina ya Phoenurse condoms toka China,na akitoa hukumu hiyo Jaji Sulet Potterill alisema condoms hizo ni ndogo sana, ni feki,na hazijathibitishwa na Shirika la Afya Duniani na hatua hiyo imekuja baada Afika Kusini kuwa na maambukizi mengi zaidi kuliko nchi yoyote duniani,kufikia watu 5.38 milioni kati ya watu milioni 50 wana virusi vinavyoambukiza ugonjwa wa ukimwi.

Wakenya walipata mshangao!


Cabo Snoop arrive in KENYA for tusker all star show! this 1/sep/2011


Mwanamuziki anayetamba na wimbo wake wa Prakatumba, Cabo Snoop kutoka Angola, yuko nchini Nairobi kwa shoo maalum ya Tusker itakayowakutanisha na kina Shaggy na Eve. Pichani juu na chini Cabo akiwasili na kuongea na wanahabari Uwanja wa Kimataifa wa Jomo kenyata Kenya jana. Shoo inafanyika Jumamosi hii.


Warembo wa Tusker wakiwa tayari kuwapokea wageni wao Uwanja wa Ndege  Nairobi

Kati ya majabari nae yumo.....!

Iwe ulizaliwa enzi za uhai wake au baada ya kifo chake, jambo moja ambalo wote tunafanana ni kwamba ukisikia muziki wake sio ajabu utatikisa kichwa, kutabasamu, kucheza au kurukaruka. Ukishaguswa na muziki huo sio ajabu ukajiuliza swali gumu; kwanini mungu akamchukua Mbaraka Mwaruka Mwinshehe baada ya ile ajali ya gari nchini Kenya tarehe 13 Januari mwaka 1979? Angelikuwa hai nani asingependa kusoma mahojiano yake? Inasemekana Mbaraka Mwinshehe alikufa kutokana na kuvuja damu nyingi na asipatikane wa kumchangia damu ili kuokoa maisha yake. Alifia hospitalini Mombasa.

Hayati Mbaraka Mwinshehe akicharaza gitaa na kuimba!
Uwezo wake wa kutunga nyimbo, kupanga muziki na kudonoa gitaa hauna mfano wake mpaka sasa. Ukimsikiliza leo unaweza dhani kapiga gitaa hilo juzi kumbe ni miaka chungu mbovu iliyopita. Kizuri zaidi ni kwamba upigaji wa gitaa hakufundishwa na mtu bali yeye mwenyewe. Akiwa bado kijana mdogo kabisa alicheza muziki uliokuwa unajulikana kwa jina la “kwela”(asili yake Afrika Kusini) na bendi iliyojulikana kama Cuban Branch Jazz.



Mbaraka Mwinshehe akimvisha mke wake, Amney Shadad, pete ya ndoa. Hiyo ilikuwa tarehe 17/3/1972 mjini Morogoro.
Mbaraka alianza kujitengenezea jina kwenye medani ya muziki wakati alipokuwa mmojawapo ya wanamuziki waliokuwa wanaunda bendi maarufu ya Morogoro Jazz kati ya mwaka 1964 mpaka 1973. Baadaye ndipo alipoanzisha bendi yake mwenyewe iliyojulikana kama Super Volcano mwaka 1973. Alidumu na kutamba na Super Volcano mpaka mauti ilipomfika miaka sita baadaye. Kuimba alijifunza kutoka kwa Salum Abdullah, mwanzilishi wa Morogoro Jazz ambaye baadaye alijiengua na kwenda kuunda Cuban Marimba Band.
Hii hapa ni baadhi tu ya miziki ya Mbaraka Mwaruka Mwinshehe ambayo inatufanya tuendelee kumkumbuka daima. Lala pema peponi.

Read more: MBARAKA MWARUKA MWINSHEHE! - BongoCelebrity

Unaifaham hii taswira?

Tumetoka Mbali: Askari Monument

Maarufu pia kama ' Picha ya Bismini". { Picha ya maktaba}

MUONEKANO MARIDHAWA....!

Sifa moja ya miji mingi mikubwa duniani huwa ni pamoja na kuwa na majengo,ma-sanamu au kitu kingine chochote kikubwa ambacho hutumiwa kama kitambulisho au alama rasmi ya jiji husika.Kwa jiji la London lililopo nchini Uingereza, Tower Bridge(pichani) ni mojawapo ya “landmark” muhimu za jiji hilo.

Unaweza kusoma kuhusu historia ya Tower Bridge kwa kubonyeza hapa.Lakini wengi nadhani tungependa zaidi kusikia kutoka kwa wenzetu wanaoishi London au nchini Uingereza kuhusu umuhimu wa Tower Bridge kwa jiji la London.Tunakaribisha pia picha kama hizi kutoka katika majiji mengine duniani ambako tuna hakika watanzania wametapakaa huko.Hii yote ni katika kusaidiana katika kufunguana macho.Na je kwa jiji letu la Dar-es-salaam,tunaweza kusema “Askari Monument” ndio kitambulisho chetu rasmi?

Wednesday, September 28, 2011

Mwanzilishi mfuko wa saratan ya matiti marekani....


Minnie Ripperton




Biography
The tragic 1979 death of 31-year-old Minnie Riperton silenced one of soul music's most unique and unforgettable voices — blessed with an angelic five-octave vocal range, she scored her greatest commercial success with the chart-topping pop ballad "Lovin' You." Riperton was born in Chicago on November 8, 1947; as a youth she studied music, drama, and dance at the city's Lincoln Center and later contemplated a career in opera. Her pop career began in 1961 when she joined the local girl group called the Gems, signing to the famed Chess label to release a handful of singles as well as lend backing vocals to acts including Fontella Bass, the Dells, and Etta James. After graduating high school, Riperton went to work at Chess as a receptionist; following the Gems' dissolution, she also signed with the label as a solo act, releasing a single, "Lonely Girl," under the alias Andrea Davis.

In 1968, Riperton was installed as the lead vocalist of the psychedelic soul band the Rotary Connection, which debuted that year with a self-titled LP on Cadet Concepts; the singles "Amen" and "Lady Jane" found a home on underground FM radio, but the group failed to make much of an impression on mainstream outlets. While still a member of the Connection, Riperton mounted a solo career; teaming with producer/arranger Charles Stepney and her husband/composer Richard Rudolph, she issued her brilliant debut, Come to My Garden, in 1970, but again commercial success eluded her grasp. After the Rotary Connection dissolved in the wake of 1971's Hey Love, she and Rudolph took a two-year sabbatical in Florida before relocating to Los Angeles, where she sang on Stevie Wonder's Fulfillingness' First Finale and toured as a member of his backing unit Wonderlove.

Wonder agreed to co-produce Riperton's 1974 album Perfect Angel, which contained the international blockbuster "Lovin' You"; the record made her a household name, although subsequent LPs like 1975's Adventures in Paradise and 1977's Stay in Love failed to repeat its success. By this time, however, commercial woes were the least of Riperton's concerns — diagnosed with breast cancer, she underwent a mastectomy in 1976, later becoming a spokesperson for the American Cancer Society and earning a Society Courage Award from then-President Jimmy Carter. Riperton continued performing despite her declining condition, with 1979's Minnie the final record completed during her lifetime — she died in L.A. on July 12 of that year. Unreleased vocal tracks with new instrumental backing comprised 1980's posthumous collection Love Lives Forever.

Discography

1969 - Come To My Garden
1974 - Perfect Angel
1975 - Adventures In Paradise
1977 - Stay In Love
1979 - Minnie
1980 - Love Lives Forever

Mzee wa song of lawino.....!!

Chinua Achebe amtaka 50 Cent abadili Jina la movie yake mpya inayo itwa THINGS FALL APART

Chinua Achebe amtaka 50 Cent abadili Jina la movie yake mpya inayo itwa THINGS FALL APART

Mwandishi mashuhuri wa Novels kutoka Nigeria,Chinua Achebe,amemuonya mwimbaji 50 Cent kutotumia jina ”THINGS FALL APART” kama tittle ya movie yake mpya
Muimbaji huyo ameamua kubadili jina la movie hiyo baada ya kupokea onyo kali toka kwa wanasheria wa mwandishi huyo ili kuepusha mtafaruku huo .

Things Fall Apart,ni moja kati ya kazi mashuhuri zilizowahi kuandikwa na kuwa published na mr Achebe mwaka 1958,tathmini inaonesha ni kitaabu maarufu zaidi nchini Nigeria inasemekana ndio kitabu kinachosomwa zaidi barani Africa,kikiwa kimeuza kopi zaidi ya milion nane duniani kote,ila kwa bahati mbaya 50 cent hakuwa aware na uwepo wa kitabu hiki akitumia muda mwingi kufilm hii movie mwaka jana.Movie hiyo inaelezea story ya American football player aliyepimwa na kukutwa na cancer.AKIELEZEA MWAKA JANA 50 cent alisema “It’s a project that I wrote, produced and financed myself,”.Movie ikiwa imeongozwa na Mario Van Peebles,iliachiwa mara ya kwanza March katika mji wa Miami na hivi karibuni inatarajiwa kuachiwa sehem mbalimbali duniani

Kwa bahati mbaya hii movie haita toka tena kwa tittle ile ile(THINGS FALL APART) baada ya Chinua Achebe kukomaa.Team ya wanasheria wa 50 Cent ilitumiwa ujumbe rasmi na mr Achebe, 50 Cent alijaribu kum offer $1m ili atumie hiyo tittle. Mr Achebe, 80, alichukizwa sana na offer hiyo na kusema hiyo ni sawa na kumtusi.Wanasheria wa mzee Achebe waliongeza,..”it won’t be sold for even £1bn.” .50 Cent ameipa jina lingine ambalo ni ”All Things Fall Apart”…

Mdad ajisaura kwa gharama...!

Rihanna took off her bra while filming her new video…

Rihanna took off her bra while filming her new video…
 Farmer orders beauty to cover up
…Topless Rihanna

The songbird was seen without her bikini top when filming the promo to her latest single in Bangor, Northern Ireland yesterday.

And when farmer Alan Graham spotted her antics he insisted she stick some more clothes on.
He said: “I thought it was inappropriate. I requested them to stop and they did.
“I had my conversation with Rihanna and I hope she understands where I’m coming from. We shook hands.”
Graham, who is a member of the local council, admitted to not knowing who the chart-topper was when he was asked for the use of his land for the clip last week.
He added: “I didn’t know who was coming. If the name Rihanna had been mentioned, well, no disrespect but it wouldn’t have meant anything.”
Inappropriate ... Farmer Alan Graham
Inappropriate … Farmer Alan Graham
The shoot took place on the farmer’s land near to a dual carriageway.
And the farmer insisted he was within his rights to tell the singer to cover up.
Bangers 'n flash ... Rihanna gets cheeky in a farmer's field
He added: “From my point of view, it was my land, I have an ethos and I felt it was inappropriate.
“I wish no ill will against Rihanna and her friends. Perhaps they could acquaint themselves with a greater God.”
Handful ... Rihanna on music video shoot
Handful … Rihanna on music video shoot
But despite yesterday’s interruption, filming continued today.
The singer was seen flashing her pants while shooting scenes in a Belfast housing estate.
Hordes of onlookers gathered to catch a glimpse of the singer.
Flash … Rihanna films her video on a Belfast housing estate
XPOSUREPHOTOS.COM
She teamed a denim skirt and bra-top with ripped suspenders for the occasion.
RELAND POPSTAR RIHANNA FILMING IN BELFAST'S NEW LODGE ESTATE!
The fresh northern Irish climate would have come in stark contrast to the chart-topper’s most recent port of call.
Rih has been enjoying the scorching sun of South America over recent weeks while on tour in the continent.
She’s played a series of shows in Brazil, including Rio and the country’s capital Brasilia.
But it’s not been all work for the Bajan recently.
Making hay ... Rihanna leaves little to the imagination in County Down
Making hay … Rihanna leaves little to the imagination in County Down
In August she managed to sneak in a European holiday before returning to the road.
She forked out £200,000 hiring a yacht for her and her pals, visiting St Tropez and Cannes in the south of France, and Portofino and Sardinia in Italy.

A month earlier the Grammy-winner made a rare return to her homeland Barbados, where she cut loose at a carnival.
Keeping her head Down … Rihanna in Northern Ireland
And on Thursday she starts a string of UK shows in Belfast.

Check her out … Rihanna shivers in the wind
She then takes in a host of other cities before bringing the trek to an end in Newcastle on October 16.
Video ... top DJ Calvin Harris, left

ROMA NA KALLA JEREMIAH....MOVEMENT YA PAMOJA...!

ROMA MKATILIKI
Concious Hip-Hopper toka TZ,Roma Mkatoliki ameungana na Rapper Kalla Jeremiah na kuanzisha movement inayoitwa 'Mitaa Ina Njaa Na Kiu....We Are Comin 2 Feed U'
KALLA JEREMIAH
Movement hiyo ina lengo la kumfikia kila mtanzania anapopatikana na kuwapa chakula na vinywaji na imeanzia wilayani Geita mkoa wa Mwanza

WASANII KENYA....WATOA VIDEO YA PAMOJA...!


Artist toka Kenya wameungana na kutoa video iitwayo Kilio ikiwa ni Project ya The Kenyans for Kenya iliyozinduliwa kwa ajili ya kuwahamasisha wasamaria wema kuwachangia brothers and sisters waliokumbwa na baa la njaa
Video hiyo released na artiste kama Juliani, Wyre,Nameless,Wahu,Redsan, Ken Wa Maria,JuaCali,Allan Aaron,Ekko Dydah,MOG wameshiriki kwenye project hiyo inayosimamiwa na Safaricom Kenya

ARTIST RABADABA TOKA UG....KUFUNGA NDOA...?!

FEYSAL SEGUYA - RABADABA
Artist Rabadaba toka Uganda,baada ya kuwa na msala kwa miezi kadhaa na Baby mama wake Sheila Ferguson na mdada huyo kufunguka kuwa amemsamehe Rabdaba....za Chini ya Carpet zimefunuliwa kuwa kwa sasa huenda vikao vya harusi vikaanza...soon
RABADABA vs SHEILA FERGUSON
Sheila alifunguka kwenye interview kuwa kwa kuwa wamesameheana, haina kwere kama wakifunga ndoa na kwa sasa malavidavi kama yamekolea hivi,coz Rabadaba amechora tatoo ya jina la Sheila kwenye mkono wake wa kulia na Sheila lake kapiga bonge la tatoo ya jina la ubatizo la Rabadaba,Faisal Sseguya

RAPPER JCB....AACHIA SINGLE MPYA NA HARD MAD...!!

JACOB MAKALLA - JCB
Member toka Kundi la Watengwa la Kijenge ya Juu jijini A-Town,Jacob Makalla aka JCB amedondosha ngoma yake mpya kitaani inakayokwenda kwa jina la Dunia Kizani,akiwa na mkali wa Dancehall TZ,Hard Mad na mkono wa Producer Lamar toka FishCrab ndio umehusika na unyongaji na mishe mishe zote na track hiyo