NE-YOA ACHUMBIA....KUPATA MTOTO WA 2 OCTOBER....!
SHAFFER CHIMERE SMITH JR - NE YO
Artist mkali wa R & B,Shaffer Chimere Smith,Jr. Aka Ne-Yo,ametangaza amaemchumbia baby mama wake na kutangaza ujio wa mtoto wa pili
....NE-YO NA 'WYFE WAKE 2 BE'....MONYETTA SHAW....
Ne-Yo amemchumbia longtime girlfriend,Actress Monyetta Shaw na wanatarajiwa kupata mtoto wao wa 2 mwezi October,2011 pamoja baada ya kupata mtoto wa kwanza aitwaye Madilyn Grace mwezi November 2010,lakini hawajafunguka ni lini watafunga ndoa rasmi
No comments:
Post a Comment