CALVIN CORDOZAR BRODAUS JR - SNOOP DOGG
Calvin Cordozar Broadus Jr. aka Rapper Snoop Dogg amepata shavu kama lead-role kwenye movie itakayoitwa The Legend of Fillmore Slim
Movie hiyo ilitengenzwa miaka ya 60 iliyomuhusu,Clarence Sims iliyoitwa Life of Fillmore Slim,mwenye miaka 77 sasa na shavu hilo kwa Snoop Dogg linafuatia mashavu ya kwenye movie za Training Day na Starsky & Hutch na hi ya The Legend of Fillmore Slim, Snoop Dogg atakua starring kwa mara ya kwanza na utengenezaji wa movie ya The Legend of Fillmore Slim utaanza mwezi March,2012
No comments:
Post a Comment