amreezle

amreezle

Monday, September 12, 2011

hii ni history fupi sana kuhusu dar es salaam

Maana yake ni nyumba or mji wenye amani.dar (darun)..salaam(amani) Dar ina vitumbalimbali vyakuona nakufanya ikiwa nipamoja na bandari, Wageni wengi huuchukulia miji wa dar kwamtazamo tofauti, wakiddhani kwamba ni sehemu ya fika na kuondoka kabla hawajapewa maelezo yakiundani kama vile Zanziba, kisiwa cha mafia au utajiri wa wanyama pori waliopo ndani ya aridhi ya Tanzania. Dar kuna vivutio vingi ambavyo vipo na vinaweza kukuvutia kutembelea.
Katika mizunguko ya mji kuna kelele sehemu kama soko la kariakoo, na harufu kwenye soko la samaki kivukoni ni njia nzuri yakujionea rangi na vionjo vya mji. Kula samaki walio vuliwa kwenye bahari ya hindi na utatembelea bustani yenye amani ambapo muda mzuri wakutembelea ni mchana.tembelea.www.tanzania-tours.com

No comments:

Post a Comment