Msanii Diamond kuongea kwenye radio flani hivi na kufunguka kwamba Producer Bob Junior aka Rais wa Masharobaro toka Sharobaro Records amemkatalia kurekodi wimbo wa Gongo la Mboto.Bob Junior alimcheki DJ Choka kwenye simu usiku wa jana (Jumanne) na kufunguka yafuatayo:
"Kama nilivyo sema me naumwa na sikio halisikii kabisa ndo nikamwambia nikiwa poa tuta fanya yeye anaenda anaongea mambo yasio na msingi men imeni pain sana choka ndugu yangu coz hili swala hata me limeni gusa hata me pia msanii nili plan kuimba kuhusu haya maafa kila mtu hili swala limemshtuwa so awe anaacha utoto akienda kwenye mediaz asiwe anaropoka na kuwaaribia watu sijapenda na roho imeniuma sana"
No comments:
Post a Comment