MAAFA YA KIMBUNGA...GUATEMALA!
Huwezi kuamini kuwa kimbunga kinaweza kuleta madhara makubwa kiasi hiki...Hii imetokea Nchini Guatemala,baada ya mvua kunyesha kwa sanaaa na Kimbunga Agatha kusababisha maafa makubwa. MHHH!...KU-DOWNLOAD IMEKUA SO!!!!
Kuna tabia ya watu huwa wana-download movie mbali mbali kwenye Internet,Lakini watengenezaji wa Movie ambayo imeshinda Tuzo za Oscar,THE HURT LOCKER.Movie ya kivita ya kimarekani ambayo imetwengenezwa nchini Jordan karibu na mpaka wa Iraq,Wamewashitaki zaidi ya watu 5000 ambao wali-download movie hiyo kinyume cha sheria au ulipe faini kishkaji $ 1,500 au wakikulipeleka mahakamani utalipa mara 10 zaidi yaani $ milioni 1.2 Duh!

No comments:
Post a Comment