amreezle

amreezle

Thursday, September 29, 2011

SKENDO ILIYO MUUMIZA!


DUH!....STUDIO YA AZIZ AZION YAGEUZWA GESTI?!

ARTIST AZIZ AZION - UGANDA
Studio ya Aziz Azion iliyo pande za Makindye nchini Uganda iitwayo 180 studio,inasemekana kuwa imegeuka kuwa kijiwe baada ya recording studio kwa kudaiwa kuwa producers wake wanafanya mambo yasiyofaa
Rumours pia zinadai kuwa upcoming artist wengi wa kike wamekuwa wakipiga kambi pande za studio wakimsubiri Aziz Azion kuwasaidia ili watoke,na inadaiwa kuwa Aziz Azion anakuwa busy kuwafundisha kwa dhati kabisa,lakini chumba cha pili producer wake anawachakachua wengine
Lakini hivi karibuni Aziz Azion alishtukia chezo hilo na kumfukuza producer aliyedaiwa kuwachakachua totoz wanaokuja kufundishwa na cha kushangaza Aziz alifunguka kuwa alikua hajui chochote kinachoendelea kwenye studio yake hiyo!

No comments:

Post a Comment