amreezle

amreezle

Wednesday, September 28, 2011

Ushawahi kuiskia hii....!!!


JAY-Z....ANA MTOTO WA SIRI MWENYE MIAKA 9...!

BABA JAY Z vs MTOTO JERALD ANDREWS AKA JIGGA JR.
Wiki chache baada ya mke wa Rapper Jay-Z,Beyonce kudai ana ujauzito,Imefunguliwa kuwa Rapper Jay Z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye Jerald Andrews,akidaiwa kuzaa na Schenelle Scott,model toka Trinidad
MODEL SCHENELLE SCOTT - ALIYEDAIWA KUZAA NA RAPPER JAY Z
....CHEKI DOGO ALIVYOFANANA NA JIGGA....
.....JAY Z vs BEYONCE - MR & MRS.....
Jay-z na Beyonce wanategemewa kupata mtoto wao wa kwanza,lakini kwa sasa Jay-Z yuko kwenye msala wa kuwa na mtoto wa nje ya ndoa issue ambayo liltokea mwaka 2007,lakini alikanusha kuwa na mtoto huyo japo vipimo vya DNA vimeoensha kuwa mtoto ni wa Jay-Z na boyfriend wa Schenelle,Malik Sayeed si baba wa wa mtoto huyo,Na baadaye Jay-Z kumpa Schenelle 'mkwanja wa maana' ili anyamze asifunguke lolote na baada ya Malik kuona mtoto si wake na washkaji zake kumtonya kuwa Jay z alikua anajisevia alimfukuza Schenelle kwenye nyumba yake na Jay-Z kwa kuficha aibu aliwarudisha Trinidad na mpaka sasa wanaishi maisha ya kifahari kwa gharama za Jay Z

No comments:

Post a Comment