GOODLIFE CREW....WAM-DISS TENA CHAMELEONE...!
MOWZEY & WEAZEL - GUDLYF CREW
Douglas Mayanja aka Weasal TV na Moses Sekiboogo aka Mose Radio toka Goodlife Crew wamerelese ngoma mpya inayokwenda kwa Lwaki Tonjagala na humo ndani kuna maneno ya shombo aka diss track 'kama kawa' kwa bosi wao wa zamani toka Leone Island,Joseph Mayanja aka Jose Chameleone
No comments:
Post a Comment