KAREN...MSHINDI WA BBA - 2011....AIGIA STUDIO...!!
KAREN IGHO - BBA AMPLIFIED 2011 WINNER
Mmoja wa washindi wa Big Brother Amplified – 2011,Karen Igho toka Nigeria kwa sasa yuko studio na anatarajiwa kuachia single yake kitaani any time soon
Karen alionekana na Producer maarufu toka Nigeria na watu wengi wamefunguka kuwa inakuaje coz inajulikana kuwa Karen hajui kuimba na vipi producer anafikiria kumrekodi kama si kumla mkwanja wake tu, na kudai bora angeigia kwenye movie coz anaonekana ni actress mzuri tu kama alivyowakilisha vyema kwenye Big Brother Amplified – 2011
No comments:
Post a Comment