RAPPERS GNL NA KEKO....WATAFUTA DEAL MAREKANI...!
....RAPPER KEKO vs GNL ZAMBA...NDANI YA MAREKANI....
Hip hop rapper toka Uganda,GNL Zamba kwa sasa yuko jijini California- Marekani na female rapper Keko,trying to chase some deals
GNL na Keko lwameondoka hivi karibuni chini ya label yao ya Baboon Forest Entertainment Record na GNL yuko kwenye mishemishe za kutafuta top record label producers kwa ajili ya ku-record tracks akiwa US
No comments:
Post a Comment