amreezle

amreezle

Friday, September 23, 2011

Msiba wa East AFICA....!

rday, June 18, 2011

....REST IN PEACE....ETHEL JAMES....!


Familia ya EATV na Radio imempoteza mmoja wa wanafamilia,Ethel James aliyefariki Kwenye hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi-Kenya alipokua amelazwa Marehemu Ethel alikua ni mtayarishaji wa kipindi cha E-News na Friday Nite Live vya EATV na aliazna kuugua wiki 3 zilizopita na alikua anatibiwa kwenye hospitali ya TMJ kabla ya kuhamishiwa kwenye Hospitali ya Aga Khan na mwili wake utawasili jijini Dar Es Salaam kesho na kuzikwa Jumatano kwenye makaburi ya Kinondoni...! ....REST IN PEACE....ETHEL....MAY GOD REST YOUR SOUL IN ETERNAL PEACE....AMEEN....!

No comments:

Post a Comment