Eeverything we did in this while wonderfull world...we done by hop...!
amreezle
Wednesday, September 14, 2011
JAMANI!!!!!!
Nomba niwaulize tena wadau wa ukweli, kwa nini nyerere asingeanza harakati za kugombea uhuru akiwa kule kule kwao hadi akaja kuutafutia huku pwani? Je alipokuja huku alikuta harakati za kutafuta uhuru zilianza au yeye ndio alizianzisha?
No comments:
Post a Comment