amreezle

amreezle

Wednesday, September 28, 2011

Mzee wa song of lawino.....!!

Chinua Achebe amtaka 50 Cent abadili Jina la movie yake mpya inayo itwa THINGS FALL APART

Chinua Achebe amtaka 50 Cent abadili Jina la movie yake mpya inayo itwa THINGS FALL APART

Mwandishi mashuhuri wa Novels kutoka Nigeria,Chinua Achebe,amemuonya mwimbaji 50 Cent kutotumia jina ”THINGS FALL APART” kama tittle ya movie yake mpya
Muimbaji huyo ameamua kubadili jina la movie hiyo baada ya kupokea onyo kali toka kwa wanasheria wa mwandishi huyo ili kuepusha mtafaruku huo .

Things Fall Apart,ni moja kati ya kazi mashuhuri zilizowahi kuandikwa na kuwa published na mr Achebe mwaka 1958,tathmini inaonesha ni kitaabu maarufu zaidi nchini Nigeria inasemekana ndio kitabu kinachosomwa zaidi barani Africa,kikiwa kimeuza kopi zaidi ya milion nane duniani kote,ila kwa bahati mbaya 50 cent hakuwa aware na uwepo wa kitabu hiki akitumia muda mwingi kufilm hii movie mwaka jana.Movie hiyo inaelezea story ya American football player aliyepimwa na kukutwa na cancer.AKIELEZEA MWAKA JANA 50 cent alisema “It’s a project that I wrote, produced and financed myself,”.Movie ikiwa imeongozwa na Mario Van Peebles,iliachiwa mara ya kwanza March katika mji wa Miami na hivi karibuni inatarajiwa kuachiwa sehem mbalimbali duniani

Kwa bahati mbaya hii movie haita toka tena kwa tittle ile ile(THINGS FALL APART) baada ya Chinua Achebe kukomaa.Team ya wanasheria wa 50 Cent ilitumiwa ujumbe rasmi na mr Achebe, 50 Cent alijaribu kum offer $1m ili atumie hiyo tittle. Mr Achebe, 80, alichukizwa sana na offer hiyo na kusema hiyo ni sawa na kumtusi.Wanasheria wa mzee Achebe waliongeza,..”it won’t be sold for even £1bn.” .50 Cent ameipa jina lingine ambalo ni ”All Things Fall Apart”…

No comments:

Post a Comment