.
Tuesday, September 20, 2011
BEYONCE....KUTUMIA $ MIL 1 KWA UJAUZITO....!
BEYONCÉ GISELLE KNOWLES - MRS JIGGA
Za Chini ya Carpet zinadai kuwa Artist Beyoncé na husband wake,Rapper Jay-Z wana mpangoi wa kutumia zaidi dola milioni 1 kwa ajili ya mtoto wao mtarajiwa kabla ya aka Queen B hajajifungua
JIGGA vs QUEEN B
Bajeti hiyo ni kwa ajili ya afya ya Queen B ikiwemo misosi ya kujenga mwili,kufanyiwa massage kila siku na utitiri wa lotion kwa ajili kuiweka afya ya ngozi yake iwe fiti huku Jay Z aka Jigga akihakikisha vitu vyote vinafanyika kama vilivyopangwa,coz Beyoncé alisubiri kwa hamu muda mrefu sana kupata mtoto
Posted
No comments:
Post a Comment